Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
KhaaaaSio nisishangae we ndio umeyataka
Ujue tulianza ukurasa mpya muulize hebu!! Mwenyewe ana makandokando kibaoo lakini tukafukiaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KhaaaaSio nisishangae we ndio umeyataka
We baki na ushenga wako wanzio wanaenda kuoga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii sio mida yake jamani
Utaelewa tuSijakuelewa
Toka umeondoka humu ndo kumekuwa nyumbani kwangu!Unatoka saa ngapi humu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani bado anaimbishaaHahaha
Hajui tuu anarudia mkanda
SawasawaYaani
Ila nampenda tuu aki
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nakupenda jamani
SawasawNdio hivyo uzi ni wetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan atakufwa huku anajiona
Sikuhiz unaliamsha dude si kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimo kwenye nn shem
Hmm[emoji36] [emoji101]Eli79
Hapana mm niko toka mwanzo ww ndio chanzo kabisaKhaaaa
Ujue tulianza ukurasa mpya muulize hebu!! Mwenyewe ana makandokando kibaoo lakini tukafukiaa
Kipi sasaKwahiyo huoni ulichofanya
KwendreniiiWe baki na ushenga wako wanzio wanaenda kuoga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwifa ni wakati sasa wa kununua/kuongeza kiwanja kwa ajili yenu.
Na wana jf wote.
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.
Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.
Urefu wa kiwanja ni mita 37
Upana wa kiwanja ni mita 23
Bei 19M.
PM kwa serious buyers
Karibuni
View attachment 776429View attachment 776434
Na ole wako utokeToka umeondoka humu ndo kumekuwa nyumbani kwangu!
Shunie karibu uniungishe....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora umenena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tabia ya kugonganisha magari cio nzuri
Sawa mkuuToka lini ukaondoka sasa hivi si saa tano ndio tunatoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani bado anaimbishaa