matonyamswanu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 358
- 433
Si wamesema kabisa nitoe taarifa, ushauri na maoni juu !!??Tuma picha wamtumie Mafwele wakutafute
Mafwele mchumba tu anaishi kama digidigi.Tuma picha wamtumie Mafwele wakutafute
Wewe ni nani katika nchi hii. Kwa nini hukuzileta hapa Jamii F. Huku ni kutafuta kiki tuNimepokea messages kwa namba zote ninazotumia
Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume.
Sina tatizo na massages hizo.
Shida yangu, ni,, je wako tayari kuupokea ukweli na watauandika ulivyo, watauwakilisha ulivyo na wataufanyia kazi ?? Nikiamua kwenda mwenyewe mbele ya tume watanisomea maelezo yangu jinsi nilivyowaeleza ndivyo walivyoandika.
Kwa wenye ushahidi wa picha na video, wako tayari kuvipokea kama vielelezo ?
Nawasilisha.
Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia

Hatuwezi kuingia kwenye MTEGO ,Samuya kashatoa muongozo ,kwahiyo tume endeleeni KUPIGA tu pesa kisha muandae ripoti kulingana na MAELEKEZO ya SAMUYA.Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia