Messi aangua kilio kwenye mahojiano

Messi aangua kilio kwenye mahojiano

The time has come, no way out, aende ligi nyingine akafanye kama alivyofanya akiwa Barcelona ili wale waliokuwa wanapata mashaka nae akiwa nje ya Barca hawezi perform wapate majibu.
 
Tubarikiwe wote Mkuu. Jamaa alikubali kupunguza mshahara wake kwa 50% ili amalizie uchezaji wake BARCA lakini bado ikashindikana. COVID-19 nayo imechangia sana mapato ya timu nyingi duniani kuanguka sana. 🙏🏾
Mwenye mpira wake, tutakumiss sana.. uendako niko na wewe king of the world ever

Thanks BAK kwa taarifa.. ubarikiwe mkuu
 
Covid Mkuu imeathiri sana mapato ya timu nyingi kubwa duniani kwa kucheza katika empty stadiums.
Noma Sana ,Kama Mwamba alikubali Mtonyo ushushwe kwa 50% lakini ngoma ilikataliwa,hakuna namba kila kitu kina mwisho...Ndio tatizo la kupokea mishahara mikubwa ,siku ikikata lazima kichwa kiwake moto.
 
Pole Mesi, Babra na Mo walikunyanyasa sana bora uhamie PSG.

Umewaaga mashabiki wako kwa Machozi ya huzuni, nakutakia mema huko uendako.
 
Pole Mesi, Babra na Mo walikunyanyasa sana bora uhamie PSG.

Umewaaga mashabiki wako kwa Machozi ya huzuni, nakutakia mema huko uendako.
Hawa jamaa wenye timu ni makatili, kama walivyo kufanyia Ronaldo wa Ureno kwenda Juve
 
Hapo sasa
IMG-20210808-WA0014.jpg
 
Tubarikiwe wote Mkuu. Jamaa alikubali kupunguza mshahara wake kwa 50% ili amalizie uchezaji wake BARCA lakini bado ikashindikana. COVID-19 nayo imechangia sana mapato ya timu nyingi duniani kuanguka sana. 🙏🏾

Covid Imeathiri sana kamanda..na mchezaji kukubali apunguze mshahara tena 50% sio rahisi, lakini jamaa ameweza.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Over spending of money in one player, it's a reason that make Messi out of Barcelona, just look at his salary, it's too much
 
Back
Top Bottom