Messi aangua kilio kwenye mahojiano

Messi aangua kilio kwenye mahojiano

Haka kajamaa kalikua kanatusumbua Sana kwenye elclassico [emoji3525]

KAkishika tu mpira,mi mapigo yangu ya Moyo yanaenda kasi.

Barcelona bila Messi Ni wepesi zaidi ya unyoya.
And vice versa is true 😀😀
 
Hivi ni kwanin wameweka league rules za hivo?
 
DB14F102-BA38-4F56-A366-71915D58DCDF.jpeg
 
Kuna fara(in jiwe's accent) hapa ameropoka wakati messi anaangua kilio kwenye mahojiano upande wa pili kuna kuku anaangua mayai kwenye banda
 
Noma Sana, PSG ina mastaa wengi sema kinawaangusha ubishooo kupita kiasi

Usijali kamanda wangu, Messi atawaweka sawa na wataacha utoto....kama ilivyo kwa fundi suarez akiwa liverpool na uruguay aling'ata sana wachezaji 🤣, baada ya kuhamia Barca mbona Messi alimbadilisha na akawa mtu mpole na mstaarabu, na wamekuwa marafiki zaidi ya ndugu vile 😀
 
Alipo mimi nipo
Psg ndio kituo kinachofuata kwa sasa
 
Usijali kamanda wangu, Messi atawaweka sawa na wataacha utoto....kama ilivyo kwa fundi suarez akiwa liverpool na uruguay aling'ata sana wachezaji 🤣, baada ya kuhamia Barca mbona Messi alimbadilisha na akawa mtu mpole na mstaarabu, na wamekuwa marafiki zaidi ya ndugu vile 😀
Nina imani sasa mbape ataacha upumbavu wake na Neymar
Kaka mkubwa kafika mbona watanyooka..
 
Nina imani sasa mbape ataacha upumbavu wake na Neymar
Kaka mkubwa kafika mbona watanyooka..

Kweli kabisa kaka mkubwa ameingia.....Hope watawekwa sawa kamanda wangu.

Binafsi nilifurahia ajiunge na city, naipenda more than PSG or Atletico Madrid.....But, no way kamanda, aendako Messi ninae.
 
Back
Top Bottom