psg itkua yamotoo msimu huu mpyaAnaenda PSG kutengeneza deadly attacking combination ever,
Neymar - Messi - Mbape.
Usimsahau mtu mbadiiii AngΓ©l Di MariaAnaenda PSG kutengeneza deadly attacking combination ever.
Neymar - Messi - Mbape.
Mwenye mpira wake, tutakumiss sana.. uendako niko na wewe king of the world ever
Thanks BAK kwa taarifa.. ubarikiwe mkuu
Noma Sana ,Kama Mwamba alikubali Mtonyo ushushwe kwa 50% lakini ngoma ilikataliwa,hakuna namba kila kitu kina mwisho...Ndio tatizo la kupokea mishahara mikubwa ,siku ikikata lazima kichwa kiwake moto.
Hawa jamaa wenye timu ni makatili, kama walivyo kufanyia Ronaldo wa Ureno kwenda JuvePole Mesi, Babra na Mo walikunyanyasa sana bora uhamie PSG.
Umewaaga mashabiki wako kwa Machozi ya huzuni, nakutakia mema huko uendako.
Tubarikiwe wote Mkuu. Jamaa alikubali kupunguza mshahara wake kwa 50% ili amalizie uchezaji wake BARCA lakini bado ikashindikana. COVID-19 nayo imechangia sana mapato ya timu nyingi duniani kuanguka sana. ππΎ
It's so hard to say goodbye
Ramos nae si kahamia ukoUsimsahau mtu mbadiiii AngΓ©l Di Maria
Yeahh beki katili!Ramos nae si kahamia uko
Jambazi πYeahh beki katili!