Asee, kweli ni mtu wa jamii. Mwenyezi Mungu Muumba Mbingu na Ardhi amjaalie kijana Messi Duniani na Akhera. AaminUTAMKUBALI TU ATA KIMOYOMOYO View attachment 796276View attachment 796278View attachment 796279View attachment 796280View attachment 796281View attachment 796282View attachment 796283View attachment 796284View attachment 796285View attachment 796286View attachment 796287View attachment 796288View attachment 796289
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Mikono ya taifa teule imetapakaa damuTaifa teule lililojaa mauaji ya watoto wadogo
Mungu ni wa wote, utasubiri sanaKila kitu kina mwisho wake...ipo siku kitawapata hao mbwa usichotegemea..Mungu hachezelewi bwana!
Taifa triketeule na Mungu wa Yakobo,Isaka na Ibrahim.Huyo siyo mungu wa Kinjekitile wala Dedan Kimathi,wala Mwanemotapa au Chaka Zulu.Taifa Teule is just a myth.Wake up!Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Akili zenu sijui mnazitoa wapi? Taarifa umeisoma? Aliye ileta ana maslah na upande upi? Chuki zenu arabs dhidi ya Israel, haziwazuii kuendeleaHahaha unajisikia vibaya ikiwa maamuzi ya wachezaji wa Argentina ni voluntarily? Wayahudi wa bongo mna matatizo sana.
Daraja gani zaidi ya fataki anaoa hadi under 15 kwa jinsi alivyo mzinifu?Unashangaa hiyo? Je ukipewa kisa cha miraji si utahama sayari wewe? Unadhani mtume alikuwa binadamu wa kawaida kama ulivyo wewe? Yule ni wa daraja lingine wala upunje humfikii. Na ndio maana akaitwa Mtume. Watu kama nyinyi ndo mnataka majadiliano ya dini halafu maarifa yenyewe ya kuungaunga.
Miji yao ya Jerusalem, galilaya, Nazareth, Judea ilianza mwaka gani?Nchi ya Israel waishukuru Marekani,bila ya Marekani hili taifa lingelikuiwa limeshaangamia...Hakuna nchi teule,Nchi zote ni teule kwa Mungu,Taifa la Israel limetengenezwa na waingereza May 14th, 1948. sio Mungu…
Katika vitabu vya dini vya Biblia na Quran vimewatukuza sana Wayahudi kama watu,hakuitukuza nchi inayoitwa Israel kwa sababu kulikuwa hakuna nchi kama hiyo duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha we mmakonde acha ndoto messi siyo ngassa
Judea, Nazareth, Galilaya, Jerusalem, ni miji ya zamani sana. Ilikuwa nchi gani?Mkuu matusi ya nini,huo ndio ukweli wenyewe,kulikuwa hakuna taifa linalitwa Israel,yalikuwepo mataifa yanayoitwa mfano Palestina,Tanganyika,Kenya,Congo,Denmark,Germany nk,lakini sio Israel...
Nashanga wewe povu linakutoka kulitetea hilo taifa linaloitwa Israel,unajua lakini vipi hao watu wanaoitwa waisarael walivyokuwa wabaguzi kwa waafrika
Yakobo ndiye Israel. Alikuwa na wana 12, ndizo kabila 12 za Israel, Alikuwa na wana wengi, Yusufu akawa wazir mkuu wa Misri. Ibrahim, Isack, Eliya, Elisha, Saul, Daud, Suleiman, ni baadhi ya watu mashuhuri wa Israrl. List ni ndefu sanaTaifa triketeule na Mungu wa Yakobo,Isaka na Ibrahim.Huyo siyo mungu wa Kinjekitile wala Dedan Kimathi,wala Mwanemotapa au Chaka Zulu.Taifa Teule is just a myth.Wake up!
Unashangaa hiyo? Je ukipewa kisa cha miraji si utahama sayari wewe? Unadhani mtume alikuwa binadamu wa kawaida kama ulivyo wewe? Yule ni wa daraja lingine wala upunje humfikii. Na ndio maana akaitwa Mtume. Watu kama nyinyi ndo mnataka majadiliano ya dini halafu maarifa yenyewe ya kuungaunga.
Dahh!!!Wabongo nawavulia kofia.Ndio wale wanaoongozwa na jiwe?
Wanajitoa ufahamu, hilo ndo tatizo
Ungekuwa unatafakari hiyo kauli yako kwa kuzingatia hili:
Israel orders African migrants to leave
Dada kama kawaida yako naona umejifunga kibwewe unatema tu pumba humu! Wewe ni kiumbe ambacho kilishageuka na kua Kituko cha jf kitambo sana,Hamna kitu,angekua daraja lingine angepagawa na majini??Wewe hashangai ,ulisikia wapi mtume wa mwenyezi Mungu anaingiwa na mashetani au kulogwa,hamna kitu siyo yeye wala miraji na utapeli mtupu!!Mimi ni afadhali.
Watu wanatokwa povu kwa kutokujua tu,wengi wana amini wayahudi ni wakristo wenzao! Judaism haikuvaliani na cristianity tutawaelimisha mpaka lini?!
75.4% Jewish,
16.9% Muslim,
2.1% Christian,
and 1.7% Druze,
with the remaining 4.0% not classified by religion, and a small Baha'i community,....Baal ni ibada ya masanam,...na watu wapo wanaoabudu sanamu hadi leo,
Hawa wanao washobokea mayahudi ni kutokujua tu nakujitia upofu!
Dada kama kawaida yako naona umejifunga kibwewe unatema tu pumba humu! Wewe ni kiumbe ambacho kilishageuka na kua Kituko cha jf kitambo sana,
Hivi hujajishtukia tuu? Aliyezifungia akili zako nadhani alishapoteza funguo.
Hiki ulichokiandika aibu naona mimi!! Jielimishe kidogo acha kufuga ujinga binti.Nyie ndio mazuzu msiojua,wakristo hawawatetei Wayahudi kwasababu ni dini moja hapana,bali kwasababu Mungu wa Wakristo,Mungu wa Ibrahim,Isack na Jacob,Mungu wa Israel ametuamuru tuwabariki Wayahudi.Atakae wabariki atabarikiwa na atakae walaani amelaaniwa.Itoshe nyie mazuzu kuelewa hivyo mbadilishe namna ya fitna