ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Ha ha ha Jerusalem city, ilikuwepo, ipo na hakuna wa kuifuta. Al-quds ndo ujinga gani sasa?Wamebadilisha jina lakini halija hit,wanauita al-Quds
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha Jerusalem city, ilikuwepo, ipo na hakuna wa kuifuta. Al-quds ndo ujinga gani sasa?Wamebadilisha jina lakini halija hit,wanauita al-Quds
Warusi wengi Wana asili ya Uyahudi.Abramovich muisrael
Ha ha ha Jerusalem city, ilikuwepo, ipo na hakuna wa kuifuta. Al-quds ndo ujinga gani sasa?
Acha bhana... kumbe ni taifa teule!
Hivi hashindwi kwa sababu ni taifa teule au ni kutokana na misaada mikubwa ya kijeshi anayopewa na US?!
Kwa mfano, during Obama Administration; US waliingia mkataba wa msaada wa $38 Billion kwa kipindi cha miaka 10!
$38 Billion ni zaidi ya TZS 80 Trillion ambayo ni more than TZS Trillion 8 kwa mwaka!
Leo hii Tanzania tupate msaada wa trillion 8 kwa mwaka kwa ajili ya masuala ya kijeshi tu; hivi unadhani kuna taifa Afrika litaweza kutuchezea?
Na sio Africa tu bali nchi kadhaa duniani!
Leo hii wazibie hiyo mirija Israel halafu hizo Trillion 8 wape Hamas tu let alone Iran halafu njoo hapa miaka 5 ijayo utuambie "Taifa Teule" halishindwi!!
Ha ha ha eti nuhu, musa, eliya wote walikuwa waislam[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndugu yangu usicheze na Shetani ni mjinga sana ,kwani haujawai kusikia wakisema Adamu alikua Mwislamu??Dini iliyoanzishwa zaidi ya miaka 600 baada ya Yesu kuja.
Kwa hiyo unamaanisha sisi waislam ni mashetani? au unamaanisha nini mkuuNdugu yangu usicheze na Shetani ni mjinga sana ,kwani haujawai kusikia wakisema Adamu alikua Mwislamu??Dini iliyoanzishwa zaidi ya miaka 600 baada ya Yesu kuja.
Na wanawaonea Palestina kwa sababu hawana msaada wa kijeshi ( hasa silaha) wanaoupata kama wanavyopata wao. Laiti kama wangekuwa na access hiyo kama wao, hali ingekuwa mbaya zaidi kwao, njia zote za kuingiza silaha wanazimulika kutwa kucha 24/7. Maguruneti wanayojitengenezea tu yanawanyima usingizi. Waizraeli wanajificha kwenye kivuli cha taifa teule na kuhalalisha uonevu. Hivi kweli Mungu anaweza kuwa muonevu hivi?
Nikupe mfano mdogo hivi leo red indians wakija wakaanza kuwatoa wamarekani wakidai marekani yote ni yao hivi kuna mtu atawaelewa??Uteule wao uliisha lkn utaifa wao hakuna wa kuumaliza. Walikuwepo, wapo na watakuwepo, pro Palestine mfahamu hilo. Au mseme kwao ni wapi.
Kudai iliyo mali yako siyo kosa, maana wanaotakiwa kukupa wametia pamba masikioni, lkn lzm kila mtu atwae milki yake
Kwao ni wapi? Mataifa mangapi ya kiarabu yameungana kuifuta Israel lkn yameshindwa?Na wanawaonea Palestina kwa sababu hawana msaada wa kijeshi ( hasa silaha) wanaoupata kama wanavyopata wao. Laiti kama wangekuwa na access hiyo kama wao, hali ingekuwa mbaya zaidi kwao, njia zote za kuingiza silaha wanazimulika kutwa kucha 24/7. Maguruneti wanayojitengenezea tu yanawanyima usingizi. Waizraeli wanajificha kwenye kivuli cha taifa teule na kuhalalisha uonevu. Hivi kweli Mungu anaweza kuwa muonevu hivi?
Kwa hiyo unamaanisha sisi waislam ni mashetani? au unamaanisha nini mkuu
Jibu ni rahisi, red Indians, marekani wanazuiwa kuingia? Wapalestina kwao panajulikana. Ni misri, tunisia. Algeria, saudia, oman n.k. waachie ardhi ya wenyewe. Kudai mali yako siyo kosa, kosa ni kudai isiyo mali yakoNikupe mfano mdogo hivi leo red indians wakija wakaanza kuwatoa wamarekani wakidai marekani yote ni yao hivi kuna mtu atawaelewa??
Ukisema israeli kwao ni wapi??
Na mimi ntakuuliza waparestina kwao ni wapi??
Maana waparestina wamezaliwa wanakuta pale ndio kwao kama wamarekani wa sasa hivi tu walivyozaliwa na kukuta america ni yao
Hahaha,nilicheka sana kile kisa cha mtume wa alla kwenda kuongoza ibada Yerusalem akitokea saudi arabia kwa miguu kwa usiku mmoja alifika Yerusalem na kurudi Macca,yaani ni km zaidi ya 3000,na watu wakaamini .Ha ha ha eti nuhu, musa, eliya wote walikuwa waislam[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Habari haina ukweli wowote..tatizo mnalazimisha kuficha ukweli na kutuwekea makarabrasha kutoka kwa mashetani/kilaab waliolaaniwa na Mungu mpaka Qiyamah kitakapo simama. Kwaheri mkuuHuo uongo utadanganyia kule msikitini huku kuna watu wenye akili zao wanaojua kuanzia mwanzo wa hili jambo.
Wachezaji walitishwa na Wanaharakati wanaoipinga Israel maarufu kama BDS,Messsi alitishwa kupingwa na hii movement dunia nzima.
Hivyo siyo ridhaa yao bali ni shinikizo.Tembelea link hapo chini.
BDS calls on Argentina’s national soccer team to cancel match in Israel - Jewish Telegraphic Agency
Israel Football Association to petition FIFA over nixed Argentina match
Hata mi ningekua messi siendi
Endelea kuota mkuu.Kwanini Messi akatae halafu aseme atarudisha gharama za mechi? au Messi akikataa ndiyo Argentina imekataa? By the way huo mji wa Jerusalem kwa sasa si unatumiwa na wote wayahudi na wapalestina? Ina maana Messi anawaondolea hao waisrael haki ya kutumia sehemu ya mji wanayoimiliki?
Let us see, maana hao jamaa hawakawii kuanza kumshughulikia ili kumshusha na kumuondolea udhamini kupitia makampuni yao yanayomdhamini Messi. Nadhani hakujua ukubwa wa vita anayoiingia na kama angeijua sidhani kama angethubutu.
Nyie mnaoshangilia ndo imewatachi, warabu weusi. Tangu 1948 mnawapinga Israel, leo ni miaka 70 lkn israel hajapungua bali anarejesha maeneo yake yote. Hujiulizi why? Ametengwa mara ngapi? Amewekewa vikwazo vingapi? Amerudi nyuma?
Sema hapa, nani anspoteza kati ya Israel na Palestine?