Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

JF-Expert Member
#56
3 minutes ago

New
Israel ni taifa teule: argentina wamebugi kwa kufanya hivyo safari yao ya kombe la dunia wakienda mbali sana mwisho nusu fainali. Hawatoki wamekosa baraka za jerusalem. Tuwasiliane baada ya fainali kuisha.
Hahaaa myahudi mweusi nakuona..

Niambie hio israeli imeshinda kombe la dunia mara ngapi??
Au hata fainali imewahi kufika..

Taifa teule my foot
 
Watu walitishia suala la ubalozi wa USA kuwekwa Jerusalem, na walienda bila woga pamoja na vitisho vyote! iwe Messi mmoja tu? angeachwa nyumbani wakacheza wengine
Aliyekataa si Messi pekee, kila mchezaji amepatwa na hofu
 
Hakuna taifa teule duniani ambalo Mungu kaliruhusu kuua raia wasio na hatia na kuvamia maeneo yasiyo yake.
Biblia inasema hivo, lkn uteule wake usha isha. Taifa teule kwa sasa ni wanao mcha Mungu tu, ndo hao wameahidiwa kuwa ufalme wa Mungu ni wao.

Kesi ya Israel siyo utaifa teule, ni historia yao tu kuwa, walipo sasa kama taifa, ndipo milki yao japo walipokonywa. Kama siyo kwao na walipokonywa, dunia iwaambie kwao ni wapi.
 
Hahaaa myahudi mweusi nakuona..

Niambie hio israeli imeshinda kombe la dunia mara ngapi??
Au hata fainali imewahi kufika..

Taifa teule my foot
Uteule wao uliisha lkn utaifa wao hakuna wa kuumaliza. Walikuwepo, wapo na watakuwepo, pro Palestine mfahamu hilo. Au mseme kwao ni wapi.

Kudai iliyo mali yako siyo kosa, maana wanaotakiwa kukupa wametia pamba masikioni, lkn lzm kila mtu atwae milki yake
 
Huwa hamkubali ukweli ndiyo tatizo.." Messi kawaumbua"
Huo uongo utadanganyia kule msikitini huku kuna watu wenye akili zao wanaojua kuanzia mwanzo wa hili jambo.

Wachezaji walitishwa na Wanaharakati wanaoipinga Israel maarufu kama BDS,Messsi alitishwa kupingwa na hii movement dunia nzima.

Hivyo siyo ridhaa yao bali ni shinikizo.Tembelea link hapo chini.

BDS calls on Argentina’s national soccer team to cancel match in Israel - Jewish Telegraphic Agency

Israel Football Association to petition FIFA over nixed Argentina match
 
Wayahudi weusi imewatachi sana kwa alichokifanya KING MESSI
Nyie mnaoshangilia ndo imewatachi, warabu weusi. Tangu 1948 mnawapinga Israel, leo ni miaka 70 lkn israel hajapungua bali anarejesha maeneo yake yote. Hujiulizi why? Ametengwa mara ngapi? Amewekewa vikwazo vingapi? Amerudi nyuma?

Sema hapa, nani anspoteza kati ya Israel na Palestine?
 
Biblia inasema hivo, lkn uteule wake usha isha. Taifa teule kwa sasa ni wanao mcha Mungu tu, ndo hao wameahidiwa kuwa ufalme wa Mungu ni wao.

Kesi ya Israel siyo utaifa teule, ni historia yao tu kuwa, walipo sasa kama taifa, ndipo milki yao japo walipokonywa. Kama siyo kwao na walipokonywa, dunia iwaambie kwao ni wapi.
Mkuu siku zote huwa tunapingana lakini leo naona tuna common thinking
I conquer with your thoughts and wisdom
 
Ni shinikizo kutoka kwa maadui wa Israel wala siyo swala la Messi wala Mchezaji mwingine.
Na taarifa wanayotumia warabu weusi imesema bayana.[emoji116] [emoji116] [emoji116]

"...Katibu mkuu wa chama cha soka cha Palestina Jibril Rajoub aliuomba uongozi wa chama soka cha argentine kufuta mchezo huo mara moja

Baadhi ya mashabiki wa Messi nchini Palestina walichoma jezi za nyota huyo mara baada ya kikosi hicho kuwasili Jerusalem kwa muda...".

Nje ya shinikizo na vitisho, mechi ishapangwa na kupata baraka zote. Hata huyo Messi kuona jezi yake inachomwa moto, ndo kaandika hayo.

Lkn kama timu, wamesafiri hadi Jerusalem, jiji kongwe kuwahi kuwepo kwa ajili ya mechi ya kupimana uwezo, ila magaidi wakafanya yao
 
Back
Top Bottom