Wanaotumia dini ni warabu na washirika wao wanaopinga ulaji wa kitimoto. Wakristo hawatumii dini kumtetea Israel, bali ni ukweli wa maandiko tu. Hupaswi kusema uongo wakati ukweli upo na unajulikanaUzuri wa mada za Israel and Palestine haziishi mapema.
Wenye dini zao wataingia humohumo
Isamael kapewa Ardhi,Mungu aliwaamrisha Ibrahim(Abraham) na mwanawe Ismael(Ishmail) wajenge Nyumba ya kuabudu katika Ardhi aliyowapa,Nyumba hiyo inaitwa "Kaaba" iko Mekka,waislam wamearishwa na Mungu kwenda kuitembelea na kumuenzi Mungu mwaka mara moja…,Yaani Mungu awape hekima ya kufuatilia mambo. Kifupi tu ni kuwa hakuna wa kuifuta Israel. Hivi wewe huogopi watu ambao wamesambaa dunia nzima lakini hawasahau kwao? Huoni ajabu watu wamesambaa lakini utamaduni wao unabaki kuwa vilevile bila kubadilika? Huoni tu huo ni muujiza?
Jana niliwaambia kuwa, ukiona mkristo anasema lolote kuhusu myahudi, si kwa sababu ya ukaribu wa dini zao, la hasha, bali ni kwa sababu historia ya uwepo wake mkristo anaijua automatic anavyojifunza imani yake ya Kristo.
Kama UN wangekuwa na akili, ni kujivika madaraka ya Ibrahim na kuwaweka watoto wake pamoja na kujaribu kuwapa urithi, japokuwa israel anaweza kukataa maana mirathi yake imeandikwa wakati ya Ismail haijaandikwa popote.
Kudai maamuzi ya wosia wa baba siyo kosa kwao, japokuwa wanaweza kuwa wanafanya dhambi kuua watu wasio na hatia. Lkn wanadai kilicho halali kwao.
Biblia inakataza ulaji wa Ngurue(kiti moto),wakrito wanakula Ngurue,hawakati govi,hawajisafishi kwa maji wanapomaliza kwenda chooni, kwasababu wanafata dini ya Paulo aka SaulWanaotumia dini ni warabu na washirika wao wanaopinga ulaji wa kitimoto. Wakristo hawatumii dini kumtetea Israel, bali ni ukweli wa maandiko tu. Hupaswi kusema uongo wakati ukweli upo na unajulikana
Hapo ndo unachanganya. Kwanza si kila mkristo anamtetea Israel, na mnaona Nyerere alikataa kuwa na mahusiano nao.Mayahudi wanamkubali Yesu/Nabii Issa?? Wanaukubali ukristo pia?
Ha ha haHii dini yenu ni cancer kwa ulimwengu,yule papa aliyeianzisha alileta balaa duniani.Maandiko matakatifu,torati yote inaonyesha Mwenyezi Mungu akiwapa ardhi na kueleza mipaka ya Israel wewe mvaa makobazi unakuja hapa kutudanganya hawa watu hawana nchi??Ama kweli Shetani ni nyoko!Ni baba wa uongo
😀😀 imekuwaje Gaza City na Jerusalem City leo hii sio sehemu moja?Ongea Kiswahili. Nikiongea Kiingereza mimi hapa hutanielewa. Tatizo baadhi ya wana JF mnaona wengine hawajui kitu bali ninyi tu. Ninaposema Gaza na Jerusalemu nina maana Gaza City na Jerusalem City. Leo hiyo ni nchi moja ama eneo moja la kiutawala lakini miaka ya nyuma haikuwa hivyo. Ninapojibu ninarejea Gaza ya Kihistoria pia na Kanaani ya Kihistoria ambayo sehemu yake ndipo yale makabila 12 yalipewa nchi hiyo na mwenye nchi hizi zote za dunia yaani muumbaji. Ninarejea taarifa za Biblia na pia waandishi maarufu wa Historia ya Israel kama akina Bright. Na huko Palestina mimi nimefika (Ukingo wa Magharibi). Niliondoka huko mwaka ule nilioyenda majuma mawili tu wapalestina toka Gaza na si Ramallah (Nako nimefika) wakarusha makombora yao 120 Israeli. Umenilazimisha kusema mambo ambayo huwa sisemi humu. Umenitukana eti nina "Very low way of thinking." Hata hapo ningekusahihisha hicho Kiingereza chako.
Ukumbuke kuna wahamiaji halali na wahamiaji haramu. Hawa wanaofukuzwa ni wahamiaji halali, wakati JK alifukuza wahamiaji haramu. Tusiwe wepesi wa kuhukumu kidini kabla ya kutafakuri na kutafuta ufumbuzi yakinifu wa matatizo ya kibinaadamu. Ukirejea historia ya Waisrael na safari yao ya kurudi nyumbani ni vema ukakumbuka umuhimu wa Ethiopia na hasa ukumbuke hao walofukuzwa wengine walikuwa na vinasaba vya Uisrael:African migrants kuondoka mbona ni jambo la kawaida,hapa kwetu tuliendesha operation kimbunga kipindi cha JK haikua kosa,
Hiyo African migrants to leave ni kawaida,hapa kwetu tulianzisha operation kimbunga kipindi cha JK ilikua sawa,lakini Israel wakifanya ni kosa kubwa,Go to hell 1000 times you Arabia slaves.
Duuuh, wahangaikaji ambao wamewatesa warabu miaka nenda rudi. Basi sawaMkuu,Papa gani alianzisha balaa!?Inaweza kuwa torati na Quran inaeleza kuhama kwa Ibrahim kutoka Mesolopania kwenda katika nchi ya Canaan,lakini Cannan sio nchi inayoitwa Israel kwa sasa,..
Cannan ni eneo kubwa lenye nchi "Canaan included what today are Lebanon, Israel, northwestern Jordan, and some western areas of Syria. According to archaeologist Jonathan N. Tubb, "Ammonites, "...
Syria,Lebanon,Jordan,,na Palestina(nchi inayoitwa Israel kwa sasa),kwa hiyo Ibrahim hakupewa nchi,kotoka na maaandiko ya Quran na Tourat,Mungu alimwamrisha Ibrahim aende Cannan,Cannan ni nchi zilizozitajwa hapo juu na mtaalamu wa mambo ya uchimbuaji Ardhi kuhusu mambo ya kale(archaeologist)…...,
Ibrahim(Abraham) hakuambiwa aende Israel kwasababu kulikuwa hakuna nchi inaitwa Israel..Israel imeundwa baada ya Waingereza kuwaibia Ardhi yao Wapalestina mwaka 1948
Ibrahim(Abraham) kama wakimbizi angelitua sehemu yoyote katika hizo nchi zilizotajwa hapo juu..Wayahudi ni wahangakaikaji tu,na wataendelea kuhangaika kwa vile Mungu amewaapiza,hawa watu wamempinga Mungu wakati huo na wanaendelea kumpinga mpaka sasa.,Iko siku wataangamia tu
Siyo wote waliompinga, wapo waliompokea. Uzuri unatambua kuwa Yesu ni mtume wa mwenyezimungu. Ila usicho jua ni kuwa Yesu hakuna kwa ajili ya Israel tu, bali hata kwa mataifa.Wakristo nyinyi Maisha yote mnasoma kitabu chenu kinyume nyume,hamfahamu yale yalioandikwa kwenye Biblia,Mtume wa Mwisho kupelekewa Wayahudi ni Isa(Yesu),Wayahudi hawamkubali Yesu wanamuona tapeli tu,dini ya ki "Hebrew" hawamtambui Yesu,sasa Mungu kawasamehe lini,wakati kila mtume waliopelekewa na Mungu wamempinga!??
Wanaotumia dini ni warabu na washirika wao wanaopinga ulaji wa kitimoto. Wakristo hawatumii dini kumtetea Israel, bali ni ukweli wa maandiko tu. Hupaswi kusema uongo wakati ukweli upo na unajulikana
Mkuu,Papa gani alianzisha balaa!?Inaweza kuwa torati na Quran inaeleza kuhama kwa Ibrahim kutoka Mesolopania kwenda katika nchi ya Canaan,lakini Cannan sio nchi inayoitwa Israel kwa sasa,..
Cannan ni eneo kubwa lenye nchi "Canaan included what today are Lebanon, Israel, northwestern Jordan, and some western areas of Syria. According to archaeologist Jonathan N. Tubb, "Ammonites, "...
Syria,Lebanon,Jordan,,na Palestina(nchi inayoitwa Israel kwa sasa),kwa hiyo Ibrahim hakupewa nchi,kotoka na maaandiko ya Quran na Tourat,Mungu alimwamrisha Ibrahim aende Cannan,Cannan ni nchi zilizozitajwa hapo juu na mtaalamu wa mambo ya uchimbuaji Ardhi kuhusu mambo ya kale(archaeologist)…...,
Ibrahim(Abraham) hakuambiwa aende Israel kwasababu kulikuwa hakuna nchi inaitwa Israel..Israel imeundwa baada ya Waingereza kuwaibia Ardhi yao Wapalestina mwaka 1948
Ibrahim(Abraham) kama wakimbizi angelitua sehemu yoyote katika hizo nchi zilizotajwa hapo juu..Wayahudi ni wahangakaikaji tu,na wataendelea kuhangaika kwa vile Mungu amewaapiza,hawa watu wamempinga Mungu wakati huo na wanaendelea kumpinga mpaka sasa.,Iko siku wataangamia tu
Ha ha ha mkuu Chabuso, soma hiki kitabu kikusaidie..Hahahaa kaka Saul aka Paul kawa mfalme lini!?Soul kazaliwa Jerusalem wakati wa utawalawa wa Rumi(Roman Empire),Saul alikuwa mnyapara kazi yake ilikuwa kuwasaidia warumi kuwasaka wafuasi wa Yesu na kuwauwa,...kwani Solomon(Suleiman) alikuwa anaishi Israel!
Ndo wanarudi kwao sasa, mpaka wavamiz wataomba pooWamasai wako lakini hawana Ardhi,Waisrael wameumbwa kuhangaika tu,na wataendelea kuhangaika,kwanini unafikiri walijaa na bado wamejaa nchi za Ulaya Mashariki,Urusi,Poland,Ukraine, nk,kama walipewa chi wangelikaa katika nchi yao,Waisrael wawashukuru Waingereza kwa kuwapatia Ardhi Palestina,Unajua kwamba Waingereza walitaka kuwapatia hawa watu Ardhi Uganda kabla ya kuamuliwa wapewe Ardhi Palestina
kwao naniKwao na Israel ni wapi?
Sasa ilikuwaje wakafika Israel wakati urithi wao uko mekka? Huoni ndo uchokozi?Isamael kapewa Ardhi,Mungu aliwaamrisha Ibrahim(Abraham) na mwanawe Ismael(Ishmail) wajenge Nyumba ya kuabudu katika Ardhi aliyowapa,Nyumba hiyo inaitwa "Kaaba" iko Mekka,waisalma wamearishwa na Mungu kwenda kuitembelea na kumuenzi Mungu mwaka mara moja…,
Isihaka(Issac),Wayahudi wamepewa nini1??
yaap daudi ndie alimrithi saulHa ha ha mkuu Chabuso, soma hiki kitabu kikusaidie..
Masikini waislam, yaani hujui Saul ndiye mfalme wa kwanza wa Israel? Siyo kila Saul ndiye Paul, Paul ni mtoto mdogo sana, alikuwepo Saul wa enzi hizo.
Ngoja nikupe andiko.
1Samwel 8:4 Ndipo wazee wote wa Israeli wakakutana pamoja, wakamwendea Samweli huko Rama;
5 wakamwambia, Angalia, wewe umekuwa mzee, na wanao hawaendi katika njia zako; basi, tufanyie mfalme atuamue, mfano wa mataifa yote.
1Samwel 9:16 Kesho, wakati kama huu, nitakuletea mtu kutoka nchi ya Benyamini, nawe mtie mafuta ili awe mkuu juu ya watu wangu Israeli, naye atawaokoa watu wangu na mikono ya Wafilisti; maana nimewaangalia watu wangu, kwa sababu kilio chao kimenifikilia.
17 Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia habari zake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu.
1Samwel 10:1 Ndipo Samweli akatwaa kichupa cha mafuta, akayamimina kichwani pake, akambusu, akasema, Je! BWANA hakukutia mafuta [uwe mkuu juu ya watu wake Israeli? Nawe utamiliki watu wa BWANA, na kuwaokoa na mikono ya adui zao; kisha hii itakuwa ishara kwako ya kuwa BWANA amekutia mafuta] uwe mkuu juu ya urithi wake.
17 Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa
18 akawaambia wana wa Israeli, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Naliwatoa Israeli kutoka Misri, nami naliwaokoa ninyi na mikono ya Wamisri, na ya falme zote zilizowaonea;
19 lakini leo mmemkataa Mungu wenu, naye ndiye awaponyaye katika misiba yenu yote na shida zenu; nanyi mmemwambia, Sivyo, lakini weka mfalme juu yetu. Basi, sasa, hudhurieni mbele za BWANA, kwa kabila zenu na kwa elfu zenu.
20 Basi Samweli akawaleta kabila zote za Israeli karibu; na kabila ya Benyamini ikatwaliwa.
24 Samweli akawaambia watu wote, Mnamwona mtu huyu aliyechaguliwa na BWANA, ya kuwa hakuna mtu mfano wake katika watu wote. Ndipo watu wote wakapiga kelele, wakasema, Mfalme na aishi!
Ha ha ha buji njoo umjibu hiliBiblia inakataza ulaji wa Ngurue(kiti moto),wakrito wanakula Ngurue,hawakati govi,hawajisafishi kwa maji wanapomaliza kwenda chooni, kwasababu wanafata dini ya Paulo aka Saul
Dini gani?Sasa hayo maandiko umeyatoa kwenye bichwa lako?
Hiyo dini bila maandiko itakamilika?
Wakristo wa Afrika (maana wazungu wanajitambua hawana huu ujinga wenu) mnatumia dini kuitetea israel ndio maana mna kosa hoja ya maana .
Waisrael kwao ni wapi?kwao nani