Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Mwarabu na mataifa yake yote amemshindwa Mwisraeli. Kajaribu na wewe uone cha moto. Mungu kuwa upande wa Israeli halina ubishi. Wewe soma Jirani yako Biblia huijui na hutaweza kuielewa.
 
Yuko sahihi. Anamzungumzia Sauli mwana wa Kishi. Huyu ndiye mfalme wa kwanza wa Israeli. Someni Biblia msiwapinge wachangiaji bila utaratibu mzuri
 

Hawa watu hawaelewi kitu na niwabishi tuu pasipo kujua kitu.Laiti waislam wangefunguliwa faham zao wajue.Wangemkimbilia Yesu
 
Aliyekataa si Messi pekee, kila mchezaji amepatwa na hofu
Trump hakuingia Khofu kwanini na vitisho vilikuwepo?

Unaizungumziaje statement ya Gonzalo hapo aliposema Hakuna haja ya kucheza na mayahudi. Kwani Israel hakuna wakiristo? au waislam? au mapagan? Kwanini aweke reference MAYAHUDI? akili umepewa uzitumie
 
Kwani akisema myahudi anamaanisha dini ya kiyahudi au anamaanisha taifa la wayahudi wenye dini zote?
 
Hebu someni kitabu cha Mwanzo mpate mwanga mambo haya yako vipi.

Nimechukua visehemu sehemu kuwarahisishia, ukitaka habari kamili, kisome kitabu utafahamu mengi kuhusu wazao wa Ibrahimu hasa Ishumael na Isack na kila mtu na ahadi zake.

Pitia kwa ufupi hapa

Mwanzo 12:7 BWANA akamtokea Abramu, akasema, Uzao wako nitawapa nchi hii. Naye huko akamjengea madhabahu BWANA aliyemtokea.

Mwanzo 15:2 Abramu akasema, Ee Bwana MUNGU, utanipa nini, nami naenda zangu hali sina mtoto, na atakayeimiliki nyumba yangu ni huyu Eliezeri, Mdameski?
3 Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
4 Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.
5 Akamleta nje, akasema, Tazama sasa mbinguni, kazihesabu nyota, kama ukiweza kuzihesabu. Akamwambia, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako.

Kuzaliwa kwa Ishumael

Mwanzo 16:1 Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.
2 Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
3 Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.
4 Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.
6 Naye Abramu akamwambia Sarai, Tazama, mjakazi wako yu mkononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa, naye akakimbia kutoka mbele yake.
8 Akamwambia, Hajiri, wewe mjakazi wa Sarai, unatoka wapi, nawe unakwenda wapi? Akanena, Nakimbia mimi kutoka mbele ya bibi yangu Sarai.
9 Malaika wa BWANA akamwambia, Rudi kwa bibi yako, ukanyenyekee chini ya mikono yake.
10 Malaika wa BWANA akamwambia, Hakika nitauzidisha uzao wako, wala hautahesabika kwa jinsi utakavyokuwa mwingi.
11 Malaika wa BWANA akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana BWANA amesikia kilio cha mateso yako.
12 Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.
16 Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka themanini na sita, hapo Hajiri alipomzalia Abramu Ishmaeli.

*Kuzaliwa kwa Isack, tofauti ya urithi wa Isack na ndugu yake Ishumael*

Mwanzo 17:2 Nami nitafanya agano langu kati ya mimi na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.
3 Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema,
4 Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi,
5 wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.
8 Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.
10 Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
15 Mungu akamwambia Ibrahimu, Sarai mkeo, hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jina lake litakuwa Sara.
16 Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake.

*Mungu hashindwi kitu, sara mzee kabisa apewa habari za kuzaa*

Mwanzo 18:9 Wakamwambia, Yu wapi Sara mkeo? Akasema, Yumo hemani.
10 Akamwambia, Hakika nitakurudia wakati huu huu mwakani, na tazama, Sara mkeo atapata mwana wa kiume. Sara akasikia mlangoni pa hema iliyokuwapo nyuma yake.
11 Basi Ibrahimu na Sara walikuwa wazee, na umri wao mkubwa, na Sara alikuwa amekoma katika desturi ya wanawake.
12 Kwa hiyo Sara akacheka moyoni mwake, akisema, Niwapo mkongwe, nitapata furaha, na bwana wangu mzee?
13 BWANA akamwambia Ibrahimu, Mbona Sara amecheka akisema, Mimi kweli nitazaa mwana, nami ni mzee?
14 Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.
17 BWANA akanena, Je! Nimfiche Ibrahimu jambo nilifanyalo,
18 akiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa?
22 Basi wale watu wakatoka huko wakaelekea Sodoma; lakini Ibrahimu alikuwa akali akisimama mbele za BWANA.

*Ishumael na mama yake wafukuzwa, lkn Mungu aahidi kumfanya taifa kubwa. Pia mama yake amtwalia binti wa kimisri, aoa huko*

Mwanzo 21:2 Sara akapata mimba akamzalia Ibrahimu mwana wa kiume katika uzee wake, kwa muhula alioambiwa na Mungu.
3 Ibrahimu akamwita jina lake Isaka, yule mwana aliyezaliwa, ambaye Sara alimzalia.
4 Ibrahimu akamtahiri Isaka mwanawe, alipokuwa mwenye siku nane, kama Mungu alivyomwamuru.
8 Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya; Ibrahimu akafanya karamu kuu siku ile Isaka alipoachishwa kunyonya.
9 Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.
10 Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
11 Na neno hilo lilikuwa baya sana machoni pa Ibrahimu, kwa ajili ya mwanawe.
12 Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.
13 Naye mwana wa mjakazi nitamfanya kuwa taifa, maana huyu naye ni uzao wako.
18 Ondoka, ukamwinue kijana, ukamshike mkononi mwako, kwa kuwa nitamfanya kuwa taifa kubwa.
20 Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde.
21 Akakaa katika jangwa la Parani; mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri.
34 Ibrahimu akakaa hali ya ugeni katika nchi ya Wafilisti siku nyingi.

*Mtihani mgumu kwa Ibrahimu kumchinja mwanawake Isack, si Ishumael, maana yupo huko anapambana na hali yake*

Mwanzo 22:1 Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.
2 Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.
6 Basi Ibrahimu akazitwaa kuni za hiyo sadaka, akamtwika Isaka mwanawe; akatwaa moto na kisu mkononi mwake, wakaenda wote wawili pamoja.
7 Isaka akasema na Ibrahimu baba yake, akinena, Babangu! Naye akasema, Mimi hapa, mwanangu. Akasema, Tazama! Moto upo, na kuni zipo, lakini yuko wapi mwana-kondoo kwa sadaka ya kuteketezwa?
8 Ibrahimu akasema, Mungu atajipatia mwana-kondoo kwa hiyo sadaka, mwanangu. Basi wakaendelea wote wawili pamoja.
9 Wakafika mahali pale alipoambiwa na Mungu, Ibrahimu akajenga madhabahu huko, akaziweka tayari kuni, kisha akamfunga Isaka mwanawe, akamweka juu ya madhabahu, juu ya zile kuni.
10 Ibrahimu akanyosha mkono wake, akakitwaa kisu ili amchinje mwanawe.
11 Ndipo malaika wa BWANA akamwita kutoka mbinguni, akasema, Ibrahimu! Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.
12 Akasema, Usimnyoshee kijana mkono wako, wala usimtendee neno; kwa maana sasa ninajua ya kuwa unamcha Mungu, iwapo hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee.
13 Ibrahimu akainua macho yake, akaangalia, na tazama, kondoo mume yuko nyuma yake, amenaswa pembe zake katika kichaka. Basi Ibrahimu akaenda akamtwaa huyo kondoo, akamtoa awe sadaka ya kuteketezwa badala ya mwanawe.
14 Ibrahimu akapaita mahali hapo Yehova-yire, kama watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa BWANA itapatikana.
15 Malaika wa BWANA akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni
16 akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema BWANA, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,
17 katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao;
18 na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu.

*Isack mwana wa ahadi apata jiko safi kabisa*

Mwanzo 23:1 Basi Ibrahimu alikuwa mzee mwenye miaka mingi, na BWANA alikuwa amembariki Ibrahimu katika vitu vyote.
2 Ibrahimu akamwambia mtumishi wake, mzee wa nyumba yake, aliyetawala vitu vyake vyote, Tafadhali uutie mkono wako chini ya paja langu,
3 nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
4 bali enenda hata nchi yangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu Isaka mke.
13 Tazama! Nimesimama karibu na kisima cha maji, na binti za watu wa mjini wanatoka kuteka maji,
14 basi na iwe hivi; yule msichana nitakayemwambia, Tua mtungi wako, nakuomba, ninywe; naye akasema, Unywe, nami nitawanywesha na ngamia zako pia; basi huyu na awe ndiye uliyemchagulia mtumishi wako Isaka; na kwa hayo nitajua ya kuwa umemfadhili bwana wangu.
15 Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Ibrahimu, naye ana mtungi begani pake.
16 Naye yule msichana alikuwa mzuri sana uso wake, bikira, wala mwanamume hajamjua bado; akashuka kisimani, akajaza mtungi wake, akapanda.
17 Ndipo yule mtumishi akapiga mbio kwenda kumlaki, akasema, Tafadhali unipe maji kidogo katika mtungi wako ninywe.

Mwanzo 24:1 Basi Ibrahimu alikuwa mzee mwenye miaka mingi, na BWANA alikuwa amembariki Ibrahimu katika vitu vyote.
2 Ibrahimu akamwambia mtumishi wake, mzee wa nyumba yake, aliyetawala vitu vyake vyote, Tafadhali uutie mkono wako chini ya paja langu,
3 nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
4 bali enenda hata nchi yangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu Isaka mke.
13 Tazama! Nimesimama karibu na kisima cha maji, na binti za watu wa mjini wanatoka kuteka maji,
14 basi na iwe hivi; yule msichana nitakayemwambia, Tua mtungi wako, nakuomba, ninywe; naye akasema, Unywe, nami nitawanywesha na ngamia zako pia; basi huyu na awe ndiye uliyemchagulia mtumishi wako Isaka; na kwa hayo nitajua ya kuwa umemfadhili bwana wangu.
15 Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Ibrahimu, naye ana mtungi begani pake.
16 Naye yule msichana alikuwa mzuri sana uso wake, bikira, wala mwanamume hajamjua bado; akashuka kisimani, akajaza mtungi wake, akapanda.
17 Ndipo yule mtumishi akapiga mbio kwenda kumlaki, akasema, Tafadhali unipe maji kidogo katika mtungi wako ninywe.
64 Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.
65 Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
66 Yule mtumishi akamwambia Isaka mambo yote aliyoyatenda.
67 Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mamake.
 
Biblia inakataza ulaji wa Ngurue(kiti moto),wakrito wanakula Ngurue,hawakati govi,hawajisafishi kwa maji wanapomaliza kwenda chooni, kwasababu wanafata dini ya Paulo aka Saul

Lazima ujue kua biblia inazungumzia mambo ya rohoni na siyo mwilini,hapo ndipo waislam wanapigwa chenga ya mwili.

Matendo 7:51" Enyi wenye shingo ngumu,msiotahiriwa mioyo wala masikio,siku zote mnampinga Roho Mtakatifu,kama baba zenu walivyofanya na ninyi vivyo hivyo."

Warumi 2:28-29 "Maana yeye si Myahudi aliye Myahudi kwa nje tuu,wala tohara si ile ya nje tuu katika mwili,bali yeye ni Myahudi aliye Myahudi kwa ndani,na tohara ni ya moyo,katika roho,si katika andiko;ambayo sifa yake haitokin kwa wanadamu bali kwa Mungu."

Kolosai 2:11 "Katika yeye mmetahiriwa kwa tohara isiyofanyika kwa mikono,kwa kuuvua mwili wa nyama,kwa tohara ya Kristo. Mkazikwa pamoja naye kwa ubatizo na katika huo mkafufuliwa pamoja naye kwa kuziamini nguvu ya Mungu aliyemfufua katika wafu".

Sijui kama wataelewa ili somo kwasababu limepita akili ,fikra na mawazo yao
 
Kwani akisema myahudi anamaanisha dini ya kiyahudi au anamaanisha taifa la wayahudi wenye dini zote?

Uyahudi ni dini mkuu, sio taifa, kama vile tukisema waislam, wakiristo, wahindu, haya sio mataifa, hizi ni dini. Israel ndio taifa, Israelis ni raia wa taifa hilo regardless of religion.

Inabidi hujui Kama uyahudi ni Dini na sio Taifa? maskini
 
Uyahudi ni dini mkuu, sio taifa, kama vile tukisema waislam, wakiristo, wahindu, haya sio mataifa, hizi ni dini. Israel ndio taifa, Israelis ni raia wa taifa hilo regardless of religion.

Inabidi hujui Kama uyahudi ni Dini na sio Taifa? maskini
Maskini, hujui kitu. Wayahudi ni taifa ambalo baadae likaja kuitwa Israel.

Hata hivyo original post ni timu ya Argentina wafuta kucheza mechi na timu ya taifa ya Israel.

 
Endelea kutaja hio miji....

Halafu pia niambia, mtu akiitwa Joseph ni mzungu na mtu akiitwa abdallah manake ni mwarabu?
Ha ha ha Joseph siyo jina la kizungu, ni la kiebrania, limetoka kwenye jina Yusufu. Abdalah ni jina la kiarabu.

Kuitwa majina hayo haina maana unatoka kwenye mataifa hayo ila kwa namna moja au nyingine maana yake umekuzwa na utamaduni wa jamii hizo.

Kitendo cha miji hiyo kuitwa majina ya kiebrania, ni sababu tosha kuwa miji hiyo imetengenezwa na waebrania wenyewe yaani wayahudi au waisrael.
 
Maskini, hujui kitu. Wayahudi ni taifa ambalo baadae likaja kuitwa Israel.

Hata hivyo original post ni timu ya Argentina wafuta kucheza mechi na timu ya taifa ya Israel.

View attachment 797385
Sijui mimi au hujui wewe sasa. Mbona umeshindwa kunielimisha nikajua ivo unavojua wewe. Wapi umeona kuwa eti Uyahudi ni taifa? neno Israel ni mbadala wa neno la Mtume Yakoub/Jacob.

Hii leo umenipa kali ya mwaka, Dini ni utaifa?
 

LOL! afadhali umekiri kuwa kuitwa kwa majina fulani haimaniishi wewe ndio wa jamii fulani.

Waebrania sio mayahudi, ni waisrael, ukisema ivi nitakuelewa. Ukinambia kuwa ni mayahudi itabidi nikuulize, vipi muisrael muislam au mkiristo unamwita myahudi wakati uyahudi ni dini nyengine?

Labda Nikuulize swali moja, Nitajie Abrahamic Religions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…