NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
hawana kwao wanagombea kwa watu.Waisrael kwao ni wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawana kwao wanagombea kwa watu.Waisrael kwao ni wapi?
Dini gani?
Mwarabu na mataifa yake yote amemshindwa Mwisraeli. Kajaribu na wewe uone cha moto. Mungu kuwa upande wa Israeli halina ubishi. Wewe soma Jirani yako Biblia huijui na hutaweza kuielewa.Wakristo nyinyi Maisha yote mnasoma kitabu chenu kinyume nyume,hamfahamu yale yalioandikwa kwenye Biblia,Mtume wa Mwisho kupelekewa Wayahudi ni Isa(Yesu),Wayahudi hawamkubali Yesu wanamuona tapeli tu,dini ya ki "Hebrew" hawamtambui Yesu,sasa Mungu kawasamehe lini,wakati kila mtume waliopelekewa na Mungu wamempinga!??
Yuko sahihi. Anamzungumzia Sauli mwana wa Kishi. Huyu ndiye mfalme wa kwanza wa Israeli. Someni Biblia msiwapinge wachangiaji bila utaratibu mzuriHahahaa kaka Saul aka Paul kawa mfalme lini!?Soul kazaliwa Jerusalem wakati wa utawalawa wa Rumi(Roman Empire),Saul alikuwa mnyapara kazi yake ilikuwa kuwasaidia warumi kuwasaka wafuasi wa Yesu na kuwauwa,...kwani Solomon(Suleiman) alikuwa anaishi Israel!
Ha ha ha mkuu Chabuso, soma hiki kitabu kikusaidie..
Masikini waislam, yaani hujui Saul ndiye mfalme wa kwanza wa Israel? Siyo kila Saul ndiye Paul, Paul ni mtoto mdogo sana, alikuwepo Saul wa enzi hizo.
Ngoja nikupe andiko.
1Samwel 8:4 Ndipo wazee wote wa Israeli wakakutana pamoja, wakamwendea Samweli huko Rama;
5 wakamwambia, Angalia, wewe umekuwa mzee, na wanao hawaendi katika njia zako; basi, tufanyie mfalme atuamue, mfano wa mataifa yote.
1Samwel 9:16 Kesho, wakati kama huu, nitakuletea mtu kutoka nchi ya Benyamini, nawe mtie mafuta ili awe mkuu juu ya watu wangu Israeli, naye atawaokoa watu wangu na mikono ya Wafilisti; maana nimewaangalia watu wangu, kwa sababu kilio chao kimenifikilia.
17 Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia habari zake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu.
1Samwel 10:1 Ndipo Samweli akatwaa kichupa cha mafuta, akayamimina kichwani pake, akambusu, akasema, Je! BWANA hakukutia mafuta [uwe mkuu juu ya watu wake Israeli? Nawe utamiliki watu wa BWANA, na kuwaokoa na mikono ya adui zao; kisha hii itakuwa ishara kwako ya kuwa BWANA amekutia mafuta] uwe mkuu juu ya urithi wake.
17 Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa
18 akawaambia wana wa Israeli, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Naliwatoa Israeli kutoka Misri, nami naliwaokoa ninyi na mikono ya Wamisri, na ya falme zote zilizowaonea;
19 lakini leo mmemkataa Mungu wenu, naye ndiye awaponyaye katika misiba yenu yote na shida zenu; nanyi mmemwambia, Sivyo, lakini weka mfalme juu yetu. Basi, sasa, hudhurieni mbele za BWANA, kwa kabila zenu na kwa elfu zenu.
20 Basi Samweli akawaleta kabila zote za Israeli karibu; na kabila ya Benyamini ikatwaliwa.
24 Samweli akawaambia watu wote, Mnamwona mtu huyu aliyechaguliwa na BWANA, ya kuwa hakuna mtu mfano wake katika watu wote. Ndipo watu wote wakapiga kelele, wakasema, Mfalme na aishi!
Trump hakuingia Khofu kwanini na vitisho vilikuwepo?Aliyekataa si Messi pekee, kila mchezaji amepatwa na hofu
Kama majina yapi?Ukweli mchungu ambao haters hawataki kuutambua. Haiwezekani mji uwe wa warabu halafu uwe na majina ya kiebrania. Kwa nini walishindwa kubadili jina?
Ha ha ha haya mkuuu.Hizi zenye wafuasi wengi Uyahudi Uislamu na Ukristo.
Kwani akisema myahudi anamaanisha dini ya kiyahudi au anamaanisha taifa la wayahudi wenye dini zote?Trump hakuingia Khofu kwanini na vitisho vilikuwepo?
Unaizungumziaje statement ya Gonzalo hapo aliposema Hakuna haja ya kucheza na mayahudi. Kwani Israel hakuna wakiristo? au waislam? au mapagan? Kwanini aweke reference MAYAHUDI? akili umepewa uzitumie
Jerusalem ni lugha gani? Kiarabu?Kama majina yapi?
Biblia inakataza ulaji wa Ngurue(kiti moto),wakrito wanakula Ngurue,hawakati govi,hawajisafishi kwa maji wanapomaliza kwenda chooni, kwasababu wanafata dini ya Paulo aka Saul
Kwani akisema myahudi anamaanisha dini ya kiyahudi au anamaanisha taifa la wayahudi wenye dini zote?
Endelea kutaja hio miji....Jerusalem ni lugha gani? Kiarabu?
Daaah kweli sema messi nae ajiangalie aisee
Hao waisrael wapya kutoka ulaya hawana huruma "tahadhari ni muhimu"
Maskini, hujui kitu. Wayahudi ni taifa ambalo baadae likaja kuitwa Israel.Uyahudi ni dini mkuu, sio taifa, kama vile tukisema waislam, wakiristo, wahindu, haya sio mataifa, hizi ni dini. Israel ndio taifa, Israelis ni raia wa taifa hilo regardless of religion.
Inabidi hujui Kama uyahudi ni Dini na sio Taifa? maskini
Ha ha ha Joseph siyo jina la kizungu, ni la kiebrania, limetoka kwenye jina Yusufu. Abdalah ni jina la kiarabu.Endelea kutaja hio miji....
Halafu pia niambia, mtu akiitwa Joseph ni mzungu na mtu akiitwa abdallah manake ni mwarabu?
Sijui mimi au hujui wewe sasa. Mbona umeshindwa kunielimisha nikajua ivo unavojua wewe. Wapi umeona kuwa eti Uyahudi ni taifa? neno Israel ni mbadala wa neno la Mtume Yakoub/Jacob.Maskini, hujui kitu. Wayahudi ni taifa ambalo baadae likaja kuitwa Israel.
Hata hivyo original post ni timu ya Argentina wafuta kucheza mechi na timu ya taifa ya Israel.
View attachment 797385
Ha ha ha Joseph siyo jina la kizungu, ni la kiebrania, limetoka kwenye jina Yusufu. Abdalah ni jina la kiarabu.
Kuitwa majina hayo haina maana unatoka kwenye mataifa hayo ila kwa namna moja au nyingine maana yake umekuzwa na utamaduni wa jamii hizo.
Kitendo cha miji hiyo kuitwa majina ya kiebrania, ni sababu tosha kuwa miji hiyo imetengenezwa na waebrania wenyewe yaani wayahudi au waisrael.