Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Sijui mimi au hujui wewe sasa. Mbona umeshindwa kunielimisha nikajua ivo unavojua wewe. Wapi umeona kuwa eti Uyahudi ni taifa? neno Israel ni mbadala wa neno la Mtume Yakoub/Jacob.

Hii leo umenipa kali ya mwaka, Dini ni utaifa?
Isack alizaa wana wengi, ila wawili ndo walitamba. Mmoja ni Esau na mdogo wake Yakobo. Yakobo ndiye akawa mrithi na jina lake likabadilishwa kuwa Israeli. Israel akazaa wana 12, ndizo kabila za Israel, na aliahidiwa kuwa taifa kubwa.

Hawa ni taifa toka enzi nyingi sana. Hutaki baki ilivyo mkuu
 
Kama ni wa nyumba ya Yuda, atakuwa myahudi tu. Lkn kama ni uraia wa kuomba, hataitwa myahudi.
 
Usipanic mkuu, mimi mtu ambae ana deny existence of Israeli nation pia simuelewi.

Tunachokosana mimi na wewe ni Hilo Taifa la Israel, kusema ni sawa na Uyahudi. Kwa sababu Yakobo sio dini, ila Yakobo alikuwa na dini, au si kweli?
 
Usipanic mkuu, mimi mtu ambae ana deny existence of Israeli nation pia simuelewi.

Tunachokosana mimi na wewe ni Hilo Taifa la Israel, kusema ni sawa na Uyahudi. Kwa sababu Yakobo sio dini, ila Yakobo alikuwa na dini, au si kweli?
Ingia hata Google basi, weka jewish empire, ikikosekana nakubaliana na wewe
 
Kama ni wa nyumba ya Yuda, atakuwa myahudi tu. Lkn kama ni uraia wa kuomba, hataitwa myahudi.
Kwaio ataitwa nani?

Ni sawa na kusema kuwa, kama ni msaudia atakuwa muislam tu ila kama sio msaudia hatoitwa Muislam. Ipo sawa hii statement unavoona?
 
Ingia hata Google basi, weka jewish empire, ikikosekana nakubaliana na wewe
Unaona sasa unavoanza kujizonga. Jewish empire maanake utawala wa kiyahudi, meaning that utawala huo ulikuwa unafuata sheria na kanuni za dini ya kiyahudi.

Kwani huk kwenye kugoogle, hujaona Islamic Empire? 😀 😀 😀

Hukuona kuna Abbasid Empire? Ottooman Empire? lakini je, ndio majina ya nchi hayo yalikuwa? Una safari ndefu
 
Endelea kutaja hio miji....

Halafu pia niambia, mtu akiitwa Joseph ni mzungu na mtu akiitwa abdallah manake ni mwarabu?

Ngoja niwasaidie kidogo nyie wavaa makobazi.

Jerusalem kwa kiyahudi mnaita Al Quds,Neno Al quds limetokana na neno la kiarabu linaloitwa Beit Al Maqdes(Beit Ha Mikhdash) lenye maana Hekalu la Wayahudi(Jewish Holly Temple) Huu ni ushahidi kuwa Jerusalem ni hekalu la Wayahudi na siyo pa waarabu.

Ila ila tabia ya kinganganizi ya kutaka kumiliki kila kitu hata kisicho chako ndio inawagharimu,vingine viacheni ni vya Mungu na haviibiki.
 
Zanzibar kuna jengo la Persian Bath, haimaanishi kuwa persians have the right in Zanzibar than those born after them existing.

Haya kavae mokasi ukamchangie masanja
 
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
kwa hiyo Mungu ana upendeleo/hana usawa!?
 
Mawazo ya hovyo kabisa... nimezungumzia suala la misaada ya kijeshi... kwamba, Israel anapokea TZS Trillion 8 kwa mwaka toka US kwa ajili ya masuala ya kijeshi! Sasa huo UDINI upo wapi hapo?!

Kwamba, hiyo misaada anaitoa kwa faida yake, tayari nimeshasema hapa: Kwamba hiyo misaada eti ni kwa ajili ya ununuzi wa teknolojia na huduma za kununua silaha kutoka Israel ni porojo za wafuasi wa "Taifa Teule"!! Wa-Israel wengi wenye uwezo wanasoma elimu zao za juu nchini Marekani but the opposite is UNTRUE! So, it's interesting kusikia kwamba, pamoja na Marekani kuwa ndiyo nchi yenye vyuo bora kuliko Israel lakini eti Israel iwe ndio yenye teknolojia bora kuliko Marekani!!!

FYI, ni Israel ndiyo huwa wananunua silaha kutoka Marekani!! That having said, ni kiroja kudai eti hiyo TZS Trilioni 8 kwa mwaka, ni malipo ya Marekani kununua silaha kutoka Israel!

Ukifanya majumlisho na ukaamua kutumia ufahamu wako sawasawa; hatimae utafahamu ni nani mwenye ushabiki mwa kidini na ushabiki mbuzi kati yangu na yako!!!
 
Mungu wa wakristo ni nani? Yesu?
 
Mkuu unajua ume copy and paste mistari gani,Kolosai 2:28-29 inaelezea wasifu wa Yesu, na umuhimu kufata aliyofundisha,Kolosai 2:11 nayo ndio hivyo hivyo,Matendo 7:51 ni onyo kwa wale waliokuwa hajatakasika na kumfata Yesu kivitendo..

Hamna aliekataa kama Yesu alikuwa Myahudi!!,tunachopingana nikuwa Wayahudi hawana nchi...sasa haya mengine sijui yametokea wapi,hii mistari uliyoweka hapa haiendani na hii mada ya huu uzi

Mkuu,Wewe ukata govi,umetahiriwa??,Hiyo mistari ya biblia uliyoweka hapo ni maneno na mawazo ya Saul aka Paulo,mimi ni mwislam nafata aliyoundisha Isa(Yesu) sio huyu Pagani Paulo
 
Yuko sahihi. Anamzungumzia Sauli mwana wa Kishi. Huyu ndiye mfalme wa kwanza wa Israeli. Someni Biblia msiwapinge wachangiaji bila utaratibu mzuri
Hamna anaepinga Mkuu, Angelieleza ni Saul gani anamzungumza,Saul ni jina la kawaida la Kiyahudi, wako wayahudi wengi wenye jina la Saul,kuna vile vile Saul aka Paulo,jamaa alieandika asilimia 70 ya vitabu vya biblia
 
Mwarabu na mataifa yake yote amemshindwa Mwisraeli. Kajaribu na wewe uone cha moto. Mungu kuwa upande wa Israeli halina ubishi. Wewe soma Jirani yako Biblia huijui na hutaweza kuielewa.
Pale mataifa Makubwa yatakapo acha kuiunga mkono Nchi inayojiita Israel...hapo ndio utaona kama warabu hawawezi kuoigana na nchi moja tu ya Israel,Jeshi la Israel limeshindwa na Hizbolaah kijikundi tu cha Lebanon,Jeshi laIsrael lenyewe limekiri kushindwa katika vile vita..
 
Sasa ilikuwaje wakafika Israel wakati urithi wao uko mekka? Huoni ndo uchokozi?

Halafu leta aya, maana sisi wasoma biblia tunasoma Ismail na mama yake walifukuzwa wasiwe warithi. Labda alijiongeza tu kwa kuwa alikuwa na damu ya kiyahudi tu
Usiamini kila unachosoma kwenye Biblia,kuna mkono wa mtu kwenye Biblia,..Bibllia inasema Ibarahim(Abraham) alikuwa anatembea na dada ake anaeitwa Sarah,Sifikirii kama hayo yatakuwa maadili yaliyoletwa na Mungu
 
Kama angelijieleza ni Saul gani anamuongea labda ningelimjibu vyengine
 
Uislam unakataza kuabudu au kuweka alama yoyote kwenye Msikiti,huyu anaeweka Mwezi na nyota kwenye msikiti hajui nini uislam.Nitajie jina la huyo Papa aliemfundisha Mudy uislam..,kama huweki jina la huyo Papa basi utakuwa hayo unayoongea ni porojo tu za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…