Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Sijui mimi au hujui wewe sasa. Mbona umeshindwa kunielimisha nikajua ivo unavojua wewe. Wapi umeona kuwa eti Uyahudi ni taifa? neno Israel ni mbadala wa neno la Mtume Yakoub/Jacob.

Hii leo umenipa kali ya mwaka, Dini ni utaifa?
Isack alizaa wana wengi, ila wawili ndo walitamba. Mmoja ni Esau na mdogo wake Yakobo. Yakobo ndiye akawa mrithi na jina lake likabadilishwa kuwa Israeli. Israel akazaa wana 12, ndizo kabila za Israel, na aliahidiwa kuwa taifa kubwa.

Hawa ni taifa toka enzi nyingi sana. Hutaki baki ilivyo mkuu
 
LOL! afadhali umekiri kuwa kuitwa kwa majina fulani haimaniishi wewe ndio wa jamii fulani.

Waebrania sio mayahudi, ni waisrael, ukisema ivi nitakuelewa. Ukinambia kuwa ni mayahudi itabidi nikuulize, vipi muisrael muislam au mkiristo unamwita myahudi wakati uyahudi ni dini nyengine?

Labda Nikuulize swali moja, Nitajie Abrahamic Religions.
Kama ni wa nyumba ya Yuda, atakuwa myahudi tu. Lkn kama ni uraia wa kuomba, hataitwa myahudi.
 
Isack alizaa wana wengi, ila wawili ndo walitamba. Mmoja ni Esau na mdogo wake Yakobo. Yakobo ndiye akawa mrithi na jina lake likabadilishwa kuwa Israeli. Israel akazaa wana 12, ndizo kabila za Israel, na aliahidiwa kuwa taifa kubwa.

Hawa ni taifa toka enzi nyingi sana. Hutaki baki ilivyo mkuu
Usipanic mkuu, mimi mtu ambae ana deny existence of Israeli nation pia simuelewi.

Tunachokosana mimi na wewe ni Hilo Taifa la Israel, kusema ni sawa na Uyahudi. Kwa sababu Yakobo sio dini, ila Yakobo alikuwa na dini, au si kweli?
 
Usipanic mkuu, mimi mtu ambae ana deny existence of Israeli nation pia simuelewi.

Tunachokosana mimi na wewe ni Hilo Taifa la Israel, kusema ni sawa na Uyahudi. Kwa sababu Yakobo sio dini, ila Yakobo alikuwa na dini, au si kweli?
Ingia hata Google basi, weka jewish empire, ikikosekana nakubaliana na wewe
 
Kama ni wa nyumba ya Yuda, atakuwa myahudi tu. Lkn kama ni uraia wa kuomba, hataitwa myahudi.
Kwaio ataitwa nani?

Ni sawa na kusema kuwa, kama ni msaudia atakuwa muislam tu ila kama sio msaudia hatoitwa Muislam. Ipo sawa hii statement unavoona?
 
Ingia hata Google basi, weka jewish empire, ikikosekana nakubaliana na wewe
Unaona sasa unavoanza kujizonga. Jewish empire maanake utawala wa kiyahudi, meaning that utawala huo ulikuwa unafuata sheria na kanuni za dini ya kiyahudi.

Kwani huk kwenye kugoogle, hujaona Islamic Empire? 😀 😀 😀

Hukuona kuna Abbasid Empire? Ottooman Empire? lakini je, ndio majina ya nchi hayo yalikuwa? Una safari ndefu
 
Endelea kutaja hio miji....

Halafu pia niambia, mtu akiitwa Joseph ni mzungu na mtu akiitwa abdallah manake ni mwarabu?

Ngoja niwasaidie kidogo nyie wavaa makobazi.

Jerusalem kwa kiyahudi mnaita Al Quds,Neno Al quds limetokana na neno la kiarabu linaloitwa Beit Al Maqdes(Beit Ha Mikhdash) lenye maana Hekalu la Wayahudi(Jewish Holly Temple) Huu ni ushahidi kuwa Jerusalem ni hekalu la Wayahudi na siyo pa waarabu.

Ila ila tabia ya kinganganizi ya kutaka kumiliki kila kitu hata kisicho chako ndio inawagharimu,vingine viacheni ni vya Mungu na haviibiki.
 
Ngoja niwasaidie kidogo nyie wavaa makobazi.

Jerusalem kwa kiyahudi mnaita Al Quds,Neno Al quds limetokana na neno la kiarabu linaloitwa Beit Al Maqdes(Beit Ha Mikhdash) lenye maana Hekalu la Wayahudi(Jewish Holly Temple) Huu ni ushahidi kuwa Jerusalem ni hekalu la Wayahudi na siyo pa waarabu.

Ila ila tabia ya kinganganizi ya kutaka kumiliki kila kitu hata kisicho chako ndio inawagharimu,vingine viacheni ni vya Mungu na haviibiki.
Zanzibar kuna jengo la Persian Bath, haimaanishi kuwa persians have the right in Zanzibar than those born after them existing.

Haya kavae mokasi ukamchangie masanja
 
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
kwa hiyo Mungu ana upendeleo/hana usawa!?
 
Wewe nawe una ushabiki wa kidini tu huna ufahamulo kuhusu Taifa la Israel na hiyo misaada usemayo Marekani huwa anatoa kwa faida yake tu so hiyo sio misaada bali ni malipo... Misaada ya kijeshi ya Marekani ni huwa anahitaji huduma fulani za Ujuzi wa kutengeneza silaha na new technology so huwekeza almost Silaha za Mmarekani karibu zote zinahusisha Muisrael... Achana na Ushabiki mbuzi. Marekani hana Msaada ujue even Tanzania akiisaidia basi juwa anataka information kadhaa there is no free lunch in this world. Marekani hajawahi kuwa mjinga kiasi hicho ati atoe msaada bure
Mawazo ya hovyo kabisa... nimezungumzia suala la misaada ya kijeshi... kwamba, Israel anapokea TZS Trillion 8 kwa mwaka toka US kwa ajili ya masuala ya kijeshi! Sasa huo UDINI upo wapi hapo?!

Kwamba, hiyo misaada anaitoa kwa faida yake, tayari nimeshasema hapa:
Anayesababisha ni Marekani mwenyewe kwa faida yake...

Kwa mfano, mkataba niliogusia ulikuwa unaitaka Israel kutumia 75% ya msaada kununua vifaa vya kijeshi toka USA! Kwa maana nyingine, kiwango kikubwa cha misaada ya US kwa Israel kinarudi US kwenyewe!

Sasa umeshapata kujiuliza mataifa mengine yasiyojisikia salama dhidi ya Israel na yenyewe yatakavyolazimika kutumia billions kununua vifaa vya kijeshi toka US ili kujilinda dhidi ya Israeli?

In other way round, kadri Israel inapojiimarisha kijeshi kupitia US, nchi kama Iran unaipa pressure na hivyo na wao kuamua kujiimarisha kutokea Russia!

Iran ikinunua vifaa vya kijeshi toka Russia or elsewhere; lazima amtie pressure Saudi Arabia ambae nae ataamua kujiimarisha kwa kununua vifaa vya kijeshi toka US!

Ni kutokana na hiyo triangulation ndio maana haishangazi kuona Saudi Arabia wanatumia pesa nyingi sana kununua vifaa vya kijeshi toka USA!

Huo upande mmoja. Kingine: je umewahi kusikia kitu kinaitwa WRSA-I; yaani War Reserve Stockpile Ammunition-Israel?

Kama hujawahi kusikia, hiyo ni kama ghala la Kijeshi la Marekani lililopo Israel na lina kila kitu kinachohitajika kwa vita!

Hii maana yake nini? Leo hii US au Mshirika wake wa kijeshi akitaka kumshambulia Iran; hana haja ya kwenda US kukusanya mzigo kwa ajili ya kuingia vitani kwa sababu tayari wana stock ya kutosha waliyoiweka Israel!

That having said, msaada ni mkubwa kv Israeli inatumika pia kama ghala la US!

Aidha kuna siku niliwahi kuelezea hapa; ukiacha simulizi za kutaka mafuta, ni kwanini US wanang'ang'ania Middle East!

Nikasema kwamba, Middle East ni makutano ya world's military superpowers... yaani Russia & US!

Ukisoma jinsi Soviet ilivyokuwa inajitanua enzi hizo, ilikuwa tayari imeshaimeza West Asia na ilikuwa inakuja Middle East. Ni kutokana na hilo ndio maana yapo mataifa ya Kiislamu kutoka West Asia ambayo yalikuwa sehemu ya Soviet Union!

So, ili US kui-block Soviet isijitanue zaidi; wakalazimika kupiga kambi Middle East na kudumisha uhusiano na washirika wake!

Inafahamika, ni Israel na Saudi Arabia ndio washirika wakubwa eneo hilo!

Bila shaka hata kama wewe ungekuwa ndie mwenye maamuzi ndani ya US halafu unatakiwa uwekeze wapi mabilioni ya US kati ya Israel na Saudi Arabia ili kuendeleza ushawishi wako ndani ya Middle East; bila shaka ungeamua kuwekeza Israel badala ya Saudi Arabia!

Lakini pia usisahau what's so called War in Terror. Kwa miaka nenda rudi; CIA wamekuwa wakiitumia sana Pakistan's Inter-Intelligence Service; yaani ISI!

Hata hivyo, hivi sasa US hawaiamini sana ISI kwa sababu baadhi ya maofisa wake ni ma-extremists!

Ni hawa maofisa ndio ambao pia walisababisha zoezi la kumsaka Osama bin Laden kuwa gumu kwa sababu walikuwa wanavujisha taarifa kwa Al Qaeda!

Kutokana na hilo, ni Mossad pekee ndio wanaoweza kuaminika na US/CIA kwenye ukanda wa Middle East katika kufanya intelligence sharing!!

That having said, ukipenda mtoto sharti upende na mamake na ili watimize majukumu yao ni lazima uwagharamie!
Kwamba hiyo misaada eti ni kwa ajili ya ununuzi wa teknolojia na huduma za kununua silaha kutoka Israel ni porojo za wafuasi wa "Taifa Teule"!! Wa-Israel wengi wenye uwezo wanasoma elimu zao za juu nchini Marekani but the opposite is UNTRUE! So, it's interesting kusikia kwamba, pamoja na Marekani kuwa ndiyo nchi yenye vyuo bora kuliko Israel lakini eti Israel iwe ndio yenye teknolojia bora kuliko Marekani!!!

FYI, ni Israel ndiyo huwa wananunua silaha kutoka Marekani!! That having said, ni kiroja kudai eti hiyo TZS Trilioni 8 kwa mwaka, ni malipo ya Marekani kununua silaha kutoka Israel!

Ukifanya majumlisho na ukaamua kutumia ufahamu wako sawasawa; hatimae utafahamu ni nani mwenye ushabiki mwa kidini na ushabiki mbuzi kati yangu na yako!!!
 
Nyie ndio mazuzu msiojua,wakristo hawawatetei Wayahudi kwasababu ni dini moja hapana,bali kwasababu Mungu wa Wakristo,Mungu wa Ibrahim,Isack na Jacob,Mungu wa Israel ametuamuru tuwabariki Wayahudi.Atakae wabariki atabarikiwa na atakae walaani amelaaniwa.Itoshe nyie mazuzu kuelewa hivyo mbadilishe namna ya fitna
Mungu wa wakristo ni nani? Yesu?
 
Lazima ujue kua biblia inazungumzia mambo ya rohoni na siyo mwilini,hapo ndipo waislam wanapigwa chenga ya mwili.

Matendo 7:51" Enyi wenye shingo ngumu,msiotahiriwa mioyo wala masikio,siku zote mnampinga Roho Mtakatifu,kama baba zenu walivyofanya na ninyi vivyo hivyo."

Warumi 2:28-29 "Maana yeye si Myahudi aliye Myahudi kwa nje tuu,wala tohara si ile ya nje tuu katika mwili,bali yeye ni Myahudi aliye Myahudi kwa ndani,na tohara ni ya moyo,katika roho,si katika andiko;ambayo sifa yake haitokin kwa wanadamu bali kwa Mungu."

Kolosai 2:11 "Katika yeye mmetahiriwa kwa tohara isiyofanyika kwa mikono,kwa kuuvua mwili wa nyama,kwa tohara ya Kristo. Mkazikwa pamoja naye kwa ubatizo na katika huo mkafufuliwa pamoja naye kwa kuziamini nguvu ya Mungu aliyemfufua katika wafu".

Sijui kama wataelewa ili somo kwasababu limepita akili ,fikra na mawazo yao
Mkuu unajua ume copy and paste mistari gani,Kolosai 2:28-29 inaelezea wasifu wa Yesu, na umuhimu kufata aliyofundisha,Kolosai 2:11 nayo ndio hivyo hivyo,Matendo 7:51 ni onyo kwa wale waliokuwa hajatakasika na kumfata Yesu kivitendo..

Hamna aliekataa kama Yesu alikuwa Myahudi!!,tunachopingana nikuwa Wayahudi hawana nchi...sasa haya mengine sijui yametokea wapi,hii mistari uliyoweka hapa haiendani na hii mada ya huu uzi

Mkuu,Wewe ukata govi,umetahiriwa??,Hiyo mistari ya biblia uliyoweka hapo ni maneno na mawazo ya Saul aka Paulo,mimi ni mwislam nafata aliyoundisha Isa(Yesu) sio huyu Pagani Paulo
 
Yuko sahihi. Anamzungumzia Sauli mwana wa Kishi. Huyu ndiye mfalme wa kwanza wa Israeli. Someni Biblia msiwapinge wachangiaji bila utaratibu mzuri
Hamna anaepinga Mkuu, Angelieleza ni Saul gani anamzungumza,Saul ni jina la kawaida la Kiyahudi, wako wayahudi wengi wenye jina la Saul,kuna vile vile Saul aka Paulo,jamaa alieandika asilimia 70 ya vitabu vya biblia
 
Mwarabu na mataifa yake yote amemshindwa Mwisraeli. Kajaribu na wewe uone cha moto. Mungu kuwa upande wa Israeli halina ubishi. Wewe soma Jirani yako Biblia huijui na hutaweza kuielewa.
Pale mataifa Makubwa yatakapo acha kuiunga mkono Nchi inayojiita Israel...hapo ndio utaona kama warabu hawawezi kuoigana na nchi moja tu ya Israel,Jeshi la Israel limeshindwa na Hizbolaah kijikundi tu cha Lebanon,Jeshi laIsrael lenyewe limekiri kushindwa katika vile vita..
 
Sasa ilikuwaje wakafika Israel wakati urithi wao uko mekka? Huoni ndo uchokozi?

Halafu leta aya, maana sisi wasoma biblia tunasoma Ismail na mama yake walifukuzwa wasiwe warithi. Labda alijiongeza tu kwa kuwa alikuwa na damu ya kiyahudi tu
Usiamini kila unachosoma kwenye Biblia,kuna mkono wa mtu kwenye Biblia,..Bibllia inasema Ibarahim(Abraham) alikuwa anatembea na dada ake anaeitwa Sarah,Sifikirii kama hayo yatakuwa maadili yaliyoletwa na Mungu
 
Ha ha ha mkuu Chabuso, soma hiki kitabu kikusaidie..

Masikini waislam, yaani hujui Saul ndiye mfalme wa kwanza wa Israel? Siyo kila Saul ndiye Paul, Paul ni mtoto mdogo sana, alikuwepo Saul wa enzi hizo.

Ngoja nikupe andiko.

1Samwel 8:4 Ndipo wazee wote wa Israeli wakakutana pamoja, wakamwendea Samweli huko Rama;
5 wakamwambia, Angalia, wewe umekuwa mzee, na wanao hawaendi katika njia zako; basi, tufanyie mfalme atuamue, mfano wa mataifa yote.


1Samwel 9:16 Kesho, wakati kama huu, nitakuletea mtu kutoka nchi ya Benyamini, nawe mtie mafuta ili awe mkuu juu ya watu wangu Israeli, naye atawaokoa watu wangu na mikono ya Wafilisti; maana nimewaangalia watu wangu, kwa sababu kilio chao kimenifikilia.
17 Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia habari zake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu.

1Samwel 10:1 Ndipo Samweli akatwaa kichupa cha mafuta, akayamimina kichwani pake, akambusu, akasema, Je! BWANA hakukutia mafuta [uwe mkuu juu ya watu wake Israeli? Nawe utamiliki watu wa BWANA, na kuwaokoa na mikono ya adui zao; kisha hii itakuwa ishara kwako ya kuwa BWANA amekutia mafuta] uwe mkuu juu ya urithi wake.
17 Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa
18 akawaambia wana wa Israeli, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Naliwatoa Israeli kutoka Misri, nami naliwaokoa ninyi na mikono ya Wamisri, na ya falme zote zilizowaonea;
19 lakini leo mmemkataa Mungu wenu, naye ndiye awaponyaye katika misiba yenu yote na shida zenu; nanyi mmemwambia, Sivyo, lakini weka mfalme juu yetu. Basi, sasa, hudhurieni mbele za BWANA, kwa kabila zenu na kwa elfu zenu.
20 Basi Samweli akawaleta kabila zote za Israeli karibu; na kabila ya Benyamini ikatwaliwa.
24 Samweli akawaambia watu wote, Mnamwona mtu huyu aliyechaguliwa na BWANA, ya kuwa hakuna mtu mfano wake katika watu wote. Ndipo watu wote wakapiga kelele, wakasema, Mfalme na aishi!
Kama angelijieleza ni Saul gani anamuongea labda ningelimjibu vyengine
 
Wewe haujui ukweli kua Uislam umeanzishwa na Papa?Kama haujui inabidi utafute zaidi kujua,ujue nini maana ya mwezi juu ya misikiti,umwelewe pia Waraq ibn Nawfal padiri aliyemfundisha mtume Mudy kusoma,na kumfundisha torati,zaburi na injili na kumwambia wewe utakua ni mtume.Ukishajua hayo unakaribishwa kuuliza swali kama jinsi mtume Mohamad alivyowaambia akili yenu ikifika mwisho mje kwetu watu wa kitabu tuwaelimishe
Uislam unakataza kuabudu au kuweka alama yoyote kwenye Msikiti,huyu anaeweka Mwezi na nyota kwenye msikiti hajui nini uislam.Nitajie jina la huyo Papa aliemfundisha Mudy uislam..,kama huweki jina la huyo Papa basi utakuwa hayo unayoongea ni porojo tu za vijiweni
 
Back
Top Bottom