Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Hivi unajua ufalme wa Kabaka ulikuwa instilsunafika hadi Bukoba so Kagera ni Uganda?Hivi unajua Kenya na Ethiopia kuna majimbo yanakaliwa na Wasomali pekee kwa hiyo Somalia wayadai?.Ukifuata historia mipaka yote itabadilika ndo maana tuliambiwa tuheshimu ile iliyoachwa na wakoloni.Israel ilitawaliwa na kusambaratishwa na wakoloni kadhaa,kwa hiyo wasiwalaumu Wapalestina
 
Mkuu wenye akili wamekuelewa achana naye huyo mfia dini aliyekaririshwa mambo ndio maana ana argue bila facts..... hivi hajiulizi kivipi ''taifa teule'' wachinjwe kama kuku na hitler?? ....hamna logic kabisa hapo maana kama wangekuwa ni taifa teule basi hata hitler asingeweza kuwaua kama mende
 
Hivi nyie wafuasi wa "Taifa Teule" hamjaambukizwa uginiasi na Wayahudi?! Unaleta leo mambo ambayo nimeshayaongea tangu majuzi pale niliposema kwamba: Huna cha kunifundfisha, labda mimi nikufundsishe wewe! Tangu juzi nimesema anayefaidika na hiyo misaada ni US mwenyewe in other way round! Nikachambua kwa mapana na marefu bila kuhangaika kwenda ku-Google kama ulivyofanya wewe kwenda kuokoteza articles za wafuasi wenzako wa Taifa Teule! Kwahiyo mwenyewe hapo ume-bold, ukaona haitoshi, ukapiga na nyekundu kabisa ukidhani ni bonge la point!!!

We jamaa, uwe unasoma kwa vituo, elewa kisha jibu hoja badala ya kukurupuka!! Hoja ilikuwa ni nguvu za kijeshi za Israel na ndipo nikasema, MSAADA WA KIJESHI anaopata Israel toka US, hata kama tungepata Tanzania nasi tungekuwa hatukamitiki! Mwandishi wa hiyo makala, Steve Rothman ni Dem na alishawahi kuwa kwenye House of Reps. Rothman ni advocate mzuri wa Israel!

Hapo Rothman analalamika jinsi US inavyotumia billions in MILITARY AID kwa Israel BUT
There is no economic aid to Israel, other than loan guarantees that continue to be repaid in full and on time.
Na ndio maana, kabla ya hiyo uliyodhani ni bonge la point kwako, alianza kwa kusema:
Israel will receive $3 billion, in military aid only
Kwamba, wakati Israel ilipokea, by the time, $3 Billion in MILITARY AID but there's no ECONOMIC AID!! Lakini kutokana na ushabiki maandazi ulionao kwa "taifa teule" au probably inawezekana lugha na yenyewe ikawa ni kikwazo kwako; basi ukadhani hiyo $ 3 Billion mkopo!!! Jomba, ni msaada huo...


That having said, suala la Israel kupokea msaada wa zaidi ya TZS Trillion 8 kwa mwaka lipo pale pale... acha ushabiki maandazi kwa Israel wakati kila apendae kufahamu, anafahamu backup wanayopata Israel toka USA!

Maelezo kwamba: Hayo ni maelezo ya kawaida kwenye masuala ya uhusiano/ushirikiano wa kimataifa! Hata Afrika ndivyo tunavyosema kwamba, misaada ya Wazungu kwa Afrika inawanufaisha Wazungu wenyewe... wanachukua dhahabu na almas yetu, wanachukua mazao yetu ya kilimo, wanachukua kila aina ya raslimali zetu zinazoenda kujenga uchumi wao na kuongeza ajira kwao!

Na kwamba, hata hiki wanachotupatia kama misaada is just a peanut of what they take from Afrika!

Na hoja kwamba: Ni hoja ambayo nilishaongea tangu juzi kuonesha jinsi Middle East ilivyo strategic location kwa US pale niliposema kwamba: Hiyo ni hoja niliyoongea tangu juzi. Ukiangalia kwa makini, utaona ni hoja iliyokaa from personal judgment/analysis na sio wewe uliehangaika kwenda Google halafu bado unadai eti unajua siasa!!!

Hapo kwenye BLUE & RED nilisha-conclude tangu juzi ni kwanini US ni muhimu kwao kuisaidia Israel compared na mshirika wake mwingine (Saud Arabia) ambae, hata hivyo, ni mshirika asiye na njaa ya kutaka kusaidiwa!

Israel also has permitted the US to stockpile arms, fuel, munitions and other supplies on its soil to be accessed whenever America needs them in the region.
Hivi nyie wafuasi wa Taifa Teule huwa mnasoma kweli?! Hili na lenyewe si nimeshaliongelea tangu juzi pale niliposema: Aidha kwamba, Oh Lord!! What else ambacho sijasema wakati tayari nilishasema kwamba: Endelea kubaki na kiburi chako cha Uyahudi Mweusi ukidhani kwamba unajua huku ukiishia kupoteza bundle ku-Google kuleta mambo ambayo nilishayaongea kitambo!!!!

But you know what? Do more biased research... utapata articles kibao za Wafuasi wa Taifa Teule wataokupatia maelezo
matamu matamu na utakayopenda ya ni kwanini US wana-invest hizo pesa kwa Israel!

Watakuambia maneno kama vile ni jinsi gani US isivyoweza kuendelea bila Israel... watakuambia jinsi uchumi wa Marekani ulivyoshikiliwa na Wayahudi! Watakuambia jinsi Marekani inavyotegemea Majiniasi ya Kiyahudi na porojo zingine kadha wa kadha!!!

But eh! Be careful kwa sababu, ukikurupuka na hivyo vi-article vyako utaishia kuumbuka mwenyewe!!!!
 
Kwahiyo wajerumani wana haki ya kuja kututawala tena kisa tu kihistoria walipewa hili koloni kwa mikataba na machifu wetu???? Ina maana waethiopia wanaweza enda sudan na kudai warudishiwe nchi yao kisa kihistoria ilikuwa ndio makazi yao yaani kingdom of meroe???

Hivi kwanni mnaaminishwa israel pekee ndio walikuwa na nchi..... Mbona hta makabila mengi tu duniani yalisharithishwa nchi tokea enzi za Nuhu ila leo hawajadai..... Kwahiyo leo wasomali warudi Yemen wadai kwakuwa babu yao wa kwanza Yaani CUSH aliwapa hiyo nchi basi waarabu wa Yemen wawapishe???? Tukisema tufuate nchi za urithi dunia haitokalika maana hta itabidi kagera tuiachie uganda itabidi mara irudi kenya etc kutakalika kweli????

Unaposema hakuna wa kuifuta israel umesoma historia?? Mbona wapersia waliifuta.... Mbona wababylon waliifuta..... Mbona ottoman waliweza kufuya utawala wao hta warumi pia waliweza..... Hata walipohamia ulaya ya magharibi na mashariki bado walifutwa rejea walivyouawa huko urusi na lithuania pia walivyofutwa baadhi ya vizazi na hitler je hao waliwezaje kama ni taifa teule??

Jamani hta kma ni mkristo duniani wote tumeshakuwa sawa..... Kama ni uzao wa Abraham biblia iko wazi wakristo wote mmekuwa uzao wa abraham kiroho sasa mambo ya taifa teule yanatoka wapi???

Anyway nisaidie kujibu hilo swali kivipi walifutwa huko nyuma ila unasema hamna mwenye uwezo wa kuwafuta??
 
Bhana eh, tena kweli! Kuna wengine kuhangaika ku-argue nao ni kujipotezea calories bure! Post yangu ilikuwa purely secular but from nowhere, mtu anaanza kuingiza mambo ya dini! Anashindwa hata kujiuliza kama interest yangu ni udini kwanini Saudi Arabia nimewaita religious extremists... anyway, kwa akili za watu kama hawa atasema mimi ni Shia Muslim!!!
 
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.





Mfalme Wa Kweli Na Wa Pekee Aliyeteuliwa na Mungu Kwa Sasa Ni KING MESSI.

Kwahiyo Hilo Taifa lako Zima la ISRAEL ndiyo tayari limeshashindwa na MESSI mmoja tu.

MY TAKE: YEYOTE ATAKAEAMUA KUSHINDANA NA MESSI BASI ATASHINDWA VIBAYA TU
 

Hahahaa King Ngwaba nakuaminia babaa..nawewe pia Mungu akubariki huko ulipo Mkuu! Messi kawaumbua hawa waisrael/wauwaji.
 
Mmeshaanza mambo yenu
Ushabiki Israeli vs Palestine kuna jukwaa lenu peleka huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…