wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Ni mchezaji mkimya na mtulivu sana lakini ana balaa uwanjani, mchezaji pekee ambae ana uwezo wa kupiga chenga mpaka wachezaji 6 na kipa, n.k.
Mwaka 2023 waarabu walikuwa tayari kumlipa Euro bilioni 1.4 kwa mwaka sawa na Shilingi za kitanzania Trilioni 4 na bilioni 30 lakini aliwapiga chini.
alikataa kwasababu Saudi Arabia ni dola ya kiislam iliyoingiza dini kwenye serikali yenye sheria zinazokandamiza haki za dini zingine, Nchini Saudia
- hakuna makanisa, wanaoweza kwenda nyumba za ibada ni waislamu tu
- hurusiwi kusoma biblia hadharani, ni waislam pekee husoma Quran
- Hurusiwi kabisa kunywa pombe hata kama ni mkristo sababu Quran imekataza
- Marufuku kula vyakula haram kwenye Quran ya waislam
- Mfungo wa Ramadan unaowahusu waislam hakuna kula hadharan hata uwe mkristo