Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kama Unguja jana walikuwa public holiday ya new year ya kiislam.Tatizo ni kwamba nchi ikishajaa waislam wanaingiza dini kwenye serikali na kukandamiza haki za dini nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Unguja jana walikuwa public holiday ya new year ya kiislam.Tatizo ni kwamba nchi ikishajaa waislam wanaingiza dini kwenye serikali na kukandamiza haki za dini nyingine
Ww ni kubwa jinga na hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu pole sanaWanabiashara gani tofauti na hela za wajinga wanaokwenda kumpiga shetani mawe na kulizunguka jiwe?
Saudi kama Dubai tu labda angesema Qatar ...Saudia watu washoot mpaka matangazo ya pombe ...Wanahost mechi za boxing na mieleka kuna matangazo ya pombe .Kutoka Wikipedia.
Saudi Arabia allows Christians to enter the
country as foreign workers for work or
tourism, but does not allow them to
practice their faith openly. Saudi Arabia
states that they are permitted to privately
practice their religion, but this is not
codified and raids on private practice by
the Committee for the Promotion of Virtue
and Prevention of Vice do occur, though
these have decreased since their powers
were curtailed in 2016. [12] Bringing a Bible
and other types of religious texts into the
country is allowed as long as it is for
personal use. [13]
Saudia sio wenzio wa huko Mbeya .Wanabiashara gani tofauti na hela za wajinga wanaokwenda kumpiga shetani mawe na kulizunguka jiwe?
Huyu ni Mkatoliki mwenye Imani kweli kweli sio kama lili zezeta la ureno limeingia kwenye propaganda za waarabu
🔹🇮🇱 Waarabu bado wapo kwenye propaganda ya kizamani ya kushawishi watu maarufu kueneza dini Yao
🔹🇮🇱 Mpira wao hawatumii kama burudani Bali nyenzo ya kueneza dini Yao
🇮🇱Utaona walipoandaa kombe la dunia, waliwaalika akina Zakir Nir wakitarajia atawabadili dini wazungu
🇮🇱 Akina Tyson, wachezaji maarufu wa zamani akina Pogba, Adebayo nk wamelipwa hela nyingi eti wa influence washabiki wao wawafuate
🇮🇱 Hilo jinga jinga la ureno halijabadili ila linatumiwa kwenye propaganda
🇮🇱 Mwarabu siku zote chochote anachokifanya ni kufanikisha kueneza dini yake
We na Ronaldo nani jinga jinga..🤣Huyu ni Mkatoliki mwenye Imani kweli kweli sio kama lili zezeta la ureno limeingia kwenye propaganda za waarabu
🔹🇮🇱 Waarabu bado wapo kwenye propaganda ya kizamani ya kushawishi watu maarufu kueneza dini Yao
🔹🇮🇱 Mpira wao hawatumii kama burudani Bali nyenzo ya kueneza dini Yao
🇮🇱Utaona walipoandaa kombe la dunia, waliwaalika akina Zakir Nir wakitarajia atawabadili dini wazungu
🇮🇱 Akina Tyson, wachezaji maarufu wa zamani akina Pogba, Adebayo nk wamelipwa hela nyingi eti wa influence washabiki wao wawafuate
🇮🇱 Hilo jinga jinga la ureno halijabadili ila linatumiwa kwenye propaganda
🇮🇱 Mwarabu siku zote chochote anachokifanya ni kufanikisha kueneza dini yake
Duka moja nchi nzima weee[emoji28][emoji28],Sema Saudi Arabia nchi ina chachuka kwa kasi kutokana na kutengeneza mazingira ya Kitalii..Nina Uhakika miaka ijayo Saudi itakuwa na miji ya kidini mfano Mecca na Madina halafu maeneo mengine ni ya kujiachiaAcha uongo wewe dogo , saudia hakuna sheria hizo , watu wanakunywa hata duka la pombe limefunguliwa , acha porojo dogo [emoji14] 😛
Acha Porojo mkuu , Leta Tangazo gani la Bia limeshutiwa Saudia ... kimsimamo wa kidini huwezi ifananisha Saudia na Dubai + Qatar labda hujawahi kukanyaga Dubai ... Waislamu wa Dubai ni OPEN MINDED kwa watalii wao [emoji1]Saudi kama Dubai tu labda angesema Qatar ...Saudia watu washoot mpaka matangazo ya pombe ...Wanahost mechi za boxing na mieleka kuna matangazo ya pombe .
Mleta mada anawaogopa waarabu , kuna wakristo wanaishi kule ...Kitu asichojua ni kwamba Vatican tu ndio hakuna waislamu ila saudia wakristo wake ...Labda aseme mji kama Meccah na Madinnah.
Niambie sina data kusupport ninachoongea bila kuniambia sina data.Tuje kiuhalisia mimi nawajua watu wengi sana waliozamia uingereza,ufaransa na marekani na hata wewe ndoto zako kuu ni kuishi huko
Saudia ni muunganiko Wa Nchi nyingi, sehemu ambayo ni takatifu kwa waisilamu ni Hejaz. Wakifanya upuuzi wao huko kwengine hakuna atakaewagusa ila wakipagusa hapo patachimbikaDuka moja nchi nzima weee[emoji28][emoji28],Sema Saudi Arabia nchi ina chachuka kwa kasi kutokana na kutengeneza mazingira ya Kitalii..Nina Uhakika miaka ijayo Saudi itakuwa na miji ya kidini mfano Mecca na Madina halafu maeneo mengine ni ya kujiachia
Data ya kwanza ni kuanzia mtaani kwako na kwenye ukoo wenu na kwenye taifa kiujumlaNiambie sina data kusupport ninachoongea bila kuniambia sina data.
Zaidi hata 7 zaweza kufikaTrilioni 4 bajeti ya wizara hata 5 hapa bongo
Kama Unguja jana walikuwa public holiday ya new year ya kiislam.
Mwaka wetu upi huo tena?tatizo liko wapi mkuu? mbona na nyinyi mwaka mpya wenu pia ni public holiday? au kunya anye kuku tu akinya bata aambiwe kahara?
Wewe hija ni utajiri kwa Saud Arabia, wageni wote hawalali kwenye misikiti wanafikia hotelini, pia usafiri, vyakula na huduma nyingine , ndo maana Shia ikiongozwa na Iran inataka mji wa Macca uwe huru , usiwe chini ya Saud Arabia, wanatamani iwe kama Vatican city ndani ya nchi ya Italy, ambapo shekhe wa Macca anaweza kutoka nchi yoyote kama alivyo Papa.Hijja haijawahi kuingiza faida Saudia, wao wanatoa hela nyingi zaidi kama hufahamu. Huwezi ukakaa siku moja bila kutumia bidhaa inayomilikiwa na Saudia, hapo kwenyewe hio comment ume type na kifaa ambacho kinatumia technology inayomilikiwa na Saudia.
Mwaka wetu upi huo tena?
Na ndio changamoto ya akina mudi disciples hii.Tatizo ni kwamba nchi ikishajaa waislam wanaingiza dini kwenye serikali na kukandamiza haki za dini nyingine