Tuongee na data mkuu huwa sipendi stori za Vijiweni
Hizi ni Nchi zenye Migrants wengi duniani
View attachment 3037355
Kama una hesabu Urusi top 10 ni Nchi 5 za Ulaya na kama huihesabu ni Nchi 4 za Ulaya, ukitoa Ujerumani hakuna Nchi ya Ulaya inayopokea Wageni kushinda Saudia, so hoja yako haina Mashiko, Saudia Ni Jangwa kuna hali ya Hewa mbaya why watu wanamiminika kushinda huko Ulaya? Na hizo ni data bila kuangalia population ya nchi husika.
Na hizi ni Nchi zenye Migrants wengi compare na population yao
View attachment 3037361
Nchi kama Uae (Dubai ipo huko) ndio inaongoza Duniani kupokea watu wengi compare na population yao, Takriban Asilimia 88 ya watu wanaoishi huko ni immigrants. Saudia pia haipo mbali by far ina proportion kubwa ya migrants kushinda nchi yoyote ya Ulaya na Uswisi pekee ndio ina karibia.
Jenga hoja yako sasa kwa data na wewe, maneno ya kwenye kanga yaweke pembeni.