Wanabiashara gani tofauti na hela za wajinga wanaokwenda kumpiga shetani mawe na kulizunguka jiwe?1920 Saudi Arabia lilikuwa jangwa Tanganyika wakati huo ilikuwa na Utajiri na Rasilimali nyingi kuliko Saudia.
Leo Saudia inawakopesha nchi kibao mpaka za Ulaya, wana Uchumi zaidi ya Mara 10 ya uchumi wetu.
We kaa na mawazo yako mgando hayo hayo, ukiamka asubuhi unafikiria kitu gani kipya cha kulalamika.
Cc DP World 🤔Huyu ni Mkatoliki mwenye Imani kweli kweli sio kama lili zezeta la ureno limeingia kwenye propaganda za waarabu
🔹🇮🇱 Waarabu bado wapo kwenye propaganda ya kizamani ya kushawishi watu maarufu kueneza dini Yao
🔹🇮🇱 Mpira wao hawatumii kama burudani Bali nyenzo ya kueneza dini Yao
🇮🇱Utaona walipoandaa kombe la dunia, waliwaalika akina Zakir Nir wakitarajia atawabadili dini wazungu
🇮🇱 Akina Tyson, wachezaji maarufu wa zamani akina Pogba, Adebayo nk wamelipwa hela nyingi eti wa influence washabiki wao wawafuate
🇮🇱 Hilo jinga jinga la ureno halijabadili ila linatumiwa kwenye propaganda
🇮🇱 Mwarabu siku zote chochote anachokifanya ni kufanikisha kueneza dini yake
View attachment 3036696
Ni mchezaji mkimya na mtulivu sana lakini balaa lake la uwanjani ni si la kitoto, Interview za wachezaji wanakiri wenyewe kwamba wakikutana na Messi makocha...
Ni upuuzi na ujinga. wa hali ya juu.Ni kweli Saudi Arabia hakuna ruhusa kujenga Kanisa wala kuabudu Dini nyingine.
Hijja haijawahi kuingiza faida Saudia, wao wanatoa hela nyingi zaidi kama hufahamu. Huwezi ukakaa siku moja bila kutumia bidhaa inayomilikiwa na Saudia, hapo kwenyewe hio comment ume type na kifaa ambacho kinatumia technology inayomilikiwa na Saudia.Wanabiashara gani tofauti na hela za wajinga wanaokwenda kumpiga shetani mawe na kulizunguka jiwe?
Kifaa gani kutoka saudia kinatumika bongo wakati vyote vinatoka china?Hijja haijawahi kuingiza faida Saudia, wao wanatoa hela nyingi zaidi kama hufahamu. Huwezi ukakaa siku moja bila kutumia bidhaa inayomilikiwa na Saudia, hapo kwenyewe hio comment ume type na kifaa ambacho kinatumia technology inayomilikiwa na Saudia.
Linapokuja suala la dini watu munajitoa akili sanaHijja haijawahi kuingiza faida Saudia, wao wanatoa hela nyingi zaidi kama hufahamu. Huwezi ukakaa siku moja bila kutumia bidhaa inayomilikiwa na Saudia, hapo kwenyewe hio comment ume type na kifaa ambacho kinatumia technology inayomilikiwa na Saudia.
Linapokuja suala la dini watu munajitoa akili sana
Si suala la dini nyie ndio uelewa wenu mdogo mno kwenye mambo ya nayo endelea Duniani.Kifaa gani kutoka saudia kinatumika bongo wakati vyote vinatoka china?
We sasa ndio umesema la moyoni ijapokuwa ni pointlessKichwa cha Uzi kingesomeka Hivi "Sheria kandamizi za dola ya kiislamu."
Messi ungemtoa hapo.
Alikataa kuishi Saudi Arabia,hajasema anaichukia Saudia au hawezi hata kuwa balozi wa bidhaa zao,muwe mnaelewa makala zinapoandikwa.Kamba hizi Messi ni Balozi wa Saudia kama hufahamu
Revealed: The Huge Sum Messi Reportedly Earns As Saudi Arabia Ambassador
The eye-opening sum that Lionel Messi receives from Saudi Arabia to be a tourism ambassador for the Kingdom, and which has allegedly angered Paris Saint Germain, has been revealed in a report by Spanish media.www.forbes.com
Ingia Instagram ya Messi umuone anavyovaa kanzu na vilemba vya Saudi akitangaza Utalii wa Saudia.
Wewe ndo unamsemea mtoa mada yeye amesema ni sababu ya dini, kama dini ni kigezo Messi asingekuwa balozi kupromote nchi yenye Udini.Alikataa kuishi Saudi Arabia,hajasema anaichukia Saudia au hawezi hata kuwa balozi wa bidhaa zao,muwe mnaelewa makala zinapoandikwa.
Hiyo namba mbili kuna bendera ya ushoga kwenye hizo games, unalijua hilo? Je anasupport?Si suala la dini nyie ndio uelewa wenu mdogo mno kwenye mambo ya nayo endelea Duniani.
Nawapeni mifano Michache, Saudia ana mfuko wa Fedha unaitwa PIF hivi ni baadhi ya vitu ambavyo PIF inavimiliki kwa Asilimia kadhaa
1. Uber tunaifahamu
2. Electronic arts inayotengeneza Magemu kama Fifa na need for speed, Battlefield na mengineyo
3. Arm inayotengeneza processor za simu zote Duniani
4. starbucks watengenezaji wakubwa wa Kahawa
5. Amazon soko kubwa la bidhaa
6. Microsoft watengenezaji windows na office
7. Nvidia watengenezaji Gpu
8. Amd watengenezaji cpu na gpu
9. Adobe na bidhaa zao za adobe
10. Meta na bidhaa zao kama Facebook na instagram
11. Google kampuni ya kusearch
12. Alibaba wauzaji wengine wa bidhaa
Angalia hizo kampuni halafu niambie ngapi zinakuhusu unazitumia,
PIF yenyewe ina value zaidi ya Trilioni 2000 za kitanzania.
Ndio maana nikakuambia kuwa linapokuja suala la dini munakuwa zaidi ya mataahira hebu nikuulize swali kwanini watu wengi huwa wanazamia ulaya?Si suala la dini nyie ndio uelewa wenu mdogo mno kwenye mambo ya nayo endelea Duniani.
Nawapeni mifano Michache, Saudia ana mfuko wa Fedha unaitwa PIF hivi ni baadhi ya vitu ambavyo PIF inavimiliki kwa Asilimia kadhaa
1. Uber tunaifahamu
2. Electronic arts inayotengeneza Magemu kama Fifa na need for speed, Battlefield na mengineyo
3. Arm inayotengeneza processor za simu zote Duniani
4. starbucks watengenezaji wakubwa wa Kahawa
5. Amazon soko kubwa la bidhaa
6. Microsoft watengenezaji windows na office
7. Nvidia watengenezaji Gpu
8. Amd watengenezaji cpu na gpu
9. Adobe na bidhaa zao za adobe
10. Meta na bidhaa zao kama Facebook na instagram
11. Google kampuni ya kusearch
12. Alibaba wauzaji wengine wa bidhaa
Angalia hizo kampuni halafu niambie ngapi zinakuhusu unazitumia,
PIF yenyewe ina value zaidi ya Trilioni 2000 za kitanzania.
Tuongee na data mkuu huwa sipendi stori za VijiweniNdio maana nikakuambia kuwa linapokuja suala la dini munakuwa zaidi ya mataahira hebu nikuulize swali kwanini watu wengi huwa wanazamia ulaya?
Tuje kiuhalisia mimi nawajua watu wengi sana waliozamia uingereza,ufaransa na marekani na hata wewe ndoto zako kuu ni kuishi hukoTuongee na data mkuu huwa sipendi stori za Vijiweni
Hizi ni Nchi zenye Migrants wengi duniani
View attachment 3037355
Kama una hesabu Urusi top 10 ni Nchi 5 za Ulaya na kama huihesabu ni Nchi 4 za Ulaya, ukitoa Ujerumani hakuna Nchi ya Ulaya inayopokea Wageni kushinda Saudia, so hoja yako haina Mashiko, Saudia Ni Jangwa kuna hali ya Hewa mbaya why watu wanamiminika kushinda huko Ulaya? Na hizo ni data bila kuangalia population ya nchi husika.
Na hizi ni Nchi zenye Migrants wengi compare na population yao
View attachment 3037361
Nchi kama Uae (Dubai ipo huko) ndio inaongoza Duniani kupokea watu wengi compare na population yao, Takriban Asilimia 88 ya watu wanaoishi huko ni immigrants. Saudia pia haipo mbali by far ina proportion kubwa ya migrants kushinda nchi yoyote ya Ulaya na Uswisi pekee ndio ina karibia.
Jenga hoja yako sasa kwa data na wewe, maneno ya kwenye kanga yaweke pembeni.