Messi alikataa kupiga penati mara mbili kwenye mechi dhidi ya Alanas, Ronaldo aling'ang'ania kupiga zote mwenyewe

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.

Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.

Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.

Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
 
Wewe jamaa roho Yako Ina Hali Fulani ya chuki Kwa CR7, ilo ni tatizo.
CR7 ameshinda karibu Kila kitu kwenye soccer Sasa kumchukia haikusaidii chochote.
Ao wachezaji wanamahusiano ya kirafiki ila nyinyi uku mitandaoni mnachuki za hatari dhidi Yao.
 
Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.

Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.

Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.

Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
Acha chukii unahangaika kumchukia mtu ambaye hakujuii kwanza huna pesa zaidi yake mwenzako anakula pesa tu pale afunge asifunge pesa inaingia kwa account hata akisema astaafu leo kwa pesa alizozitafuta katika mpira atakula maisha yake yote ni mchezaji mkubwa yulee mpende tuu au kama humkubali hapa ungetuletea sifa ze MESSI tuu ambaye unampenda sisi wengine tunawakubali wootee
 
Nadhani hapo mwenye matatizo ni wewe na sio yeye....

Hivi katika watu kumi wanaoishi sasa hivi tukiweka ambao wamefanikiwa - excel kwenye fani yao Ronaldo hayumo ?!!!

By the way hio competitiveness ya kutaka kushinda kila kitu ndio imemfikisha hapo alipo...., Kama Mchezaji / Mwanamichezo ukikosa Hunger na Kiu ya kushinda its time to Hang your Boots
 
Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.

Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.

Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.

Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
Unaugojwa gani wewe? Penalty mbili zipi alizopiga Ronaldo?
 
Kumchukia mtu ambaye hata humfahamu hakufahamu ni dalili ya ugonjwa wa akili, Chuki zako kwa Ronaldo zinajidhihirisha wazi kabisa.
 
Ronaldo unamjua?

Chuki kwa mtu ambaye hakujui na wala wewe humjui zitakufanya ufe mapema

Unapaswa utafute maisha kwanza ili uchukie watu ambao unajuana nao.

Sio unachukia mtu ambaye humjui na hata hujawai kumuona na hata yeye hajawai kukuona wala kukusikia maisha yake yote.
 
Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.

Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.

Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.

Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
Hivi CR7 ni Babu eeh?
 
Unajua nani anajukumu la kupiga Penati pale psg?
 
Back
Top Bottom