Messi alikataa kupiga penati mara mbili kwenye mechi dhidi ya Alanas, Ronaldo aling'ang'ania kupiga zote mwenyewe

Messi alikataa kupiga penati mara mbili kwenye mechi dhidi ya Alanas, Ronaldo aling'ang'ania kupiga zote mwenyewe

Messi kumkosoa ruksa ila Ronie hutakiwi kumgusa.🤣
Mwanetu wewe andika vile unaona Mana kila mtu yupo kuona apendavyo.
Cold readers discuss the cue.
FB_IMG_16742469665956842.jpg
 
Usitusimulie kama umewaona peke yako CR7, ana ubora wake na Messi ana ubora wake

Sawaa, kila mtu ana ubora wake.,, ila kuna mmoja atatokea bora zaidi ya mwenzie, kwanzia ufundi, ubora wa magoli, freekik zilizoenda shule, ukija kwenye vikombe, tuzo n.k. Messi sio wakumlinganisha na mchezaji yeyote yule.

Wachezaji wangu bora kuwahi kutokea
Messi
Maradona
 
Back
Top Bottom