Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatufanya kama hatukuangalia mxieeeewwww.
Cr7 penalty alopiga ni moja tu,lingine lilikua goal la kawaida and that made him MOTM.
Acha unafki dogo
Messi
Messi alikuwa top akiwa Barcelona, psg kakuta mastaa wakubwa.. hkna mchezaji mwwnye thamani kubwa hapo psg Kama mbabe, so kick Hizo yeye ndo anapewa..Neymar na Messi wanafuata kmbape hayupooMessi
Mwenzako unayemchukia amefikia hatua hata akienda kuishi sehemu sheria ya dini hupindishwa ili aishi kwa raha bila bugudhaUkiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.
Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.
Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.
Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
Umesema cr7 kangangania kupiga zote,zote zipi na ilikua moja tu.Nimesema messi alikataa kupiga Penalt we nke wa ronaldo neymar na mbape [emoji16]
Messi alikuwa top akiwa Barcelona, psg kakuta mastaa wakubwa.. hkna mchezaji mwwnye thamani kubwa hapo psg Kama mbabe, so kick Hizo yeye ndo anapewa..Neymar na Messi wanafuata kmbape hayupoo
Ongeza na mahrez[emoji16],kamme kangu kapyaNimesema messi alikataa kupiga Penalt we nke wa ronaldo neymar na mbape [emoji16]
Ongeza na mahrez[emoji16],kamme kangu kapya
Hahaha,sku hizi ananipa raha sana pale etihad.Utalala hoi wale hawali chips
Hahaha,sku hizi ananipa raha sana pale etihad.
Naomba awe na the same consistence.
Hizo kura zilipigwa lini.?? Unajua mbape ameongezewa mkataba mpya mwaka jana.. ww unafikiri wanasheria wa mbape ni wajinga waruhusu mteja wao adhalilike Kama lile tukio la Nyuma la Neymar na mbape kugombea Penati.. ukiona mbape hajapiga jua tu ameamua kuachia nafasi tu. Hyo mambo wenzetu wanaingiza kwenye mkataba hawatak kumuachia kocha.. coz thamni ya mchezaji inajulikan. Mbape ni Take t 1, ney na Messi wanafuata..fuatilia?Wachezaji wa PSG walimpigia kura messi ndio awe mpiga penalty
Mbape akaenda kulia kwa waarabu kuwa timu inanitenga [emoji16] akaambiwa hatuingilii mambo ya uwanjani
Hizo kura zilipigwa lini.?? Unajua mbape ameongezewa mkataba mpya mwaka jana.. ww unafikiri wanasheria wa mbape ni wajinga waruhusu mteja wao adhalilike Kama lile tukio la Nyuma la Neymar na mbape kugombea Penati.. ukiona mbape hajapiga jua tu ameamua kuachia nafasi tu. Hyo mambo wenzetu wanaingiza kwenye mkataba hawatak kumuachia kocha.. coz thamni ya mchezaji inajulikan. Mbape ni Take t 1, ney na Messi wanafuata..fuatilia?
Zilipigwa na wachezaji wa PSG
Mbape alipigiwa kura na ashirafu tu ndio akajiona takataka tu [emoji16]
Aina ya wachawi kama wewe,ni hatari mno.Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.
Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.
Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.
Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
Huyo kane hapo spurs ana nn miaka yote hyo,ajikomboe mwenyew kwanza
Karibu kila kitu lakini sio kila kitu, huyu andunje ndio kashinda kila kitu.Wewe jamaa roho Yako Ina Hali Fulani ya chuki Kwa CR7, ilo ni tatizo.
CR7 ameshinda karibu Kila kitu kwenye soccer Sasa kumchukia haikusaidii chochote.
Ao wachezaji wanamahusiano ya kirafiki ila nyinyi uku mitandaoni mnachuki za hatari dhidi Yao.