Messi alikataa kupiga penati mara mbili kwenye mechi dhidi ya Alanas, Ronaldo aling'ang'ania kupiga zote mwenyewe

Messi alikataa kupiga penati mara mbili kwenye mechi dhidi ya Alanas, Ronaldo aling'ang'ania kupiga zote mwenyewe

Nimesema messi alikataa kupiga Penalt we nke wa ronaldo neymar na mbape [emoji16]
Unatufanya kama hatukuangalia mxieeeewwww.
Cr7 penalty alopiga ni moja tu,lingine lilikua goal la kawaida and that made him MOTM.
Acha unafki dogo
 
Sema sasa ronaldo sio riziki sijui utamvumlia [emoji51]
 
Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.

Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.

Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.

Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
Mwenzako unayemchukia amefikia hatua hata akienda kuishi sehemu sheria ya dini hupindishwa ili aishi kwa raha bila bugudha
 
Wachezaji wa PSG walimpigia kura messi ndio awe mpiga penalty
Mbape akaenda kulia kwa waarabu kuwa timu inanitenga [emoji16] akaambiwa hatuingilii mambo ya uwanjani
Messi alikuwa top akiwa Barcelona, psg kakuta mastaa wakubwa.. hkna mchezaji mwwnye thamani kubwa hapo psg Kama mbabe, so kick Hizo yeye ndo anapewa..Neymar na Messi wanafuata kmbape hayupoo
 
Yule tatizo lake anajisahau anaweza kucheza vizuri dkk 80 akaboronga dkk kumi mkapigwa
Mahrez na sterling ndio wamemwangusha Pep asibebe uefa mpaka sasa

Mngekuwa na wachezaji km harry kane mngeshabeba Uefa
Hahaha,sku hizi ananipa raha sana pale etihad.
Naomba awe na the same consistence.
 
Wachezaji wa PSG walimpigia kura messi ndio awe mpiga penalty
Mbape akaenda kulia kwa waarabu kuwa timu inanitenga [emoji16] akaambiwa hatuingilii mambo ya uwanjani
Hizo kura zilipigwa lini.?? Unajua mbape ameongezewa mkataba mpya mwaka jana.. ww unafikiri wanasheria wa mbape ni wajinga waruhusu mteja wao adhalilike Kama lile tukio la Nyuma la Neymar na mbape kugombea Penati.. ukiona mbape hajapiga jua tu ameamua kuachia nafasi tu. Hyo mambo wenzetu wanaingiza kwenye mkataba hawatak kumuachia kocha.. coz thamni ya mchezaji inajulikan. Mbape ni Take t 1, ney na Messi wanafuata..fuatilia?
 
Zilipigwa na wachezaji wa PSG

Mbape alipigiwa kura na ashirafu tu ndio akajiona takataka tu [emoji16]
Hizo kura zilipigwa lini.?? Unajua mbape ameongezewa mkataba mpya mwaka jana.. ww unafikiri wanasheria wa mbape ni wajinga waruhusu mteja wao adhalilike Kama lile tukio la Nyuma la Neymar na mbape kugombea Penati.. ukiona mbape hajapiga jua tu ameamua kuachia nafasi tu. Hyo mambo wenzetu wanaingiza kwenye mkataba hawatak kumuachia kocha.. coz thamni ya mchezaji inajulikan. Mbape ni Take t 1, ney na Messi wanafuata..fuatilia?
 
Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.

Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.

Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.

Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
Aina ya wachawi kama wewe,ni hatari mno.
Tulipokuwa shule mlikuwepo.Tukisoma sana mlituambia tuna usongo,tumetumwa na kijiji.Wasio na akili waliacha kujituma ili wasionekane wametumwa na vijiji.

Hakuna mafanikio bila jitihada kwa kila kitu sahihi unachofanya.Lakini watu kama wewe ni wachawi wakubwa kwani unaona mtu kufanya jitihada ni kitu kibaya.

Najua chuki zako dhidi ya Ronaldo ni kwa vile anaitwa "Christiano"...mmekuwa na chuki sana ninyi watu ambazo hazina msingi wowote.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huyo kane hapo spurs ana nn miaka yote hyo,ajikomboe mwenyew kwanza
 
Wewe jamaa roho Yako Ina Hali Fulani ya chuki Kwa CR7, ilo ni tatizo.
CR7 ameshinda karibu Kila kitu kwenye soccer Sasa kumchukia haikusaidii chochote.
Ao wachezaji wanamahusiano ya kirafiki ila nyinyi uku mitandaoni mnachuki za hatari dhidi Yao.
Karibu kila kitu lakini sio kila kitu, huyu andunje ndio kashinda kila kitu.
 
Tabia au hulka haijifichi Ronaldo ana silika ya Misifa, ubinafsi, uchoyo, ujivuni, na hizi translation yake haina mjadala ndiomana hata penalty za kudaganya anazo nyingi, goli afunge yeye ndio goli akifunga mwingine nongwa.
Mungu fundi benchmark wake ameendelea kuwa juu siku zote, Mungu ni Mungu bhana.
He Ronaldo has had allergy or scarcity of sportsman's or rather fair play character.
 
Back
Top Bottom