uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
- Thread starter
-
- #41
Haina huwa haijifichi Ronaldo ana silika ya Misifa, ubinafsi, uchoyo, ujivuni, na hizi translation yake haina mjadala ndiomana hata penalty za kudaganya anazo nyingi, goli afunge yeye ndio goli akifunga mwingine nongwa.
Mungu fundi benchmark wake ameendelea kuwa juu siku zote, Mungu ni Mungu bhana.
Kwa mafanikio aliyonayo Ronaldo Mungu fundi kweliTabia au hulka haijifichi Ronaldo ana silika ya Misifa, ubinafsi, uchoyo, ujivuni, na hizi translation yake haina mjadala ndiomana hata penalty za kudaganya anazo nyingi, goli afunge yeye ndio goli akifunga mwingine nongwa.
Mungu fundi benchmark wake ameendelea kuwa juu siku zote, Mungu ni Mungu bhana.
He Ronaldo has had allergy or scarcity of sportsman's or rather fair play character.
Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.
Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.
Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.
Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
MbuziGOT au G.O.A.T?
Huyu jamaa ana kila dalili za uchawi huwezi chukia mtu tu out of the blueuwe hodari kila siku nasisitiza na naendelea kusisitiza kuwa huna akili, tenga muda wako kusoma vitabu vyenye maarifa kurekebisha akili yako ilijaa matope na hilo litasaidia kupunguza muda unaoupoteza kushinda katika vijiwe vya kahawa.
Una chuki na ronaldoUkiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.
Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.
Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.
Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
Una chuki na ronaldo
Usitusimulie kama umewaona peke yako CR7, ana ubora wake na Messi ana ubora wakeIfike mahali tuache kumfananisha Messi na Ronaldo, Messi hafananishwi na mchezaji yeyote duniani.
Ronaldo ni mchezaji mzuri lakini linapofika suala la ulinganishi bado mnamkosea messi.
Hivi mtu anachukua $ 4.1 million per week * 2335 TSH = .....[emoji385][emoji385][emoji383][emoji383][emoji383].....
Hebu tuwe realistic wewe na yeye nani mwenye matatizo?
Maybe macho yako yanapeleka wrong information kwenye ubongo so ubongo wako unashindwa kurudisha mawimbi vizuri. Unakwambia low signal.
Hebu deal na central coordinator yako vizuri.
Ushabiki unaruhusu hilo.....Mnaleta hisia kwenye biashara za watu.
Kaka kisa mpira ndio unamkandia ronaldo namna hiyo?????Au una chuki binafsi kwani ronaldo ni mwanamke na hachoti mihela ya bure kaka????Kuhusu cantona kwani na yeye kakatazwa kwenda gym au kucheza mpira!!!!Mpeni ronaldo heshima yake jamaa anajua kkutafuta pesa popote pale anapokwenda ligi nne tofauti msisahau hilo!!!!Hao akina cantona wivu binafsi tu!!!!Messi he,s the best ever ila ronaldo ni mpambanaji every game for him is rumble in the jungle!!Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa.
Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni kuchota mipesa ya bure, basi Ronaldo anajikaza ile sana.
Ronaldo anatamani apate walau heshima aliyokuwa anaipata miaka miwili nyuma ila sasa watu wamempuuzilia mbali.
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Cantona amemponda Ronaldo na kumwambia kushinda gym hakumfanyi awe kijana kwenye mpira.
Upande mwingne kina Messi walikuwa wanacheza wamerelax tu na wakashinda kirahisi sana, huku Messi akikataa kupiga matuta na kuwaachia vijana ila babu Ronaldo alikatalia mipira yote ya penalty.
Halafu anaefanya uchambuzi kajificha kwa shemeji yake anaangalia tamthiliya za kutafsiriwa na hana habari kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaka nguvu kongole zako🤣🤣🤣🤣UmetishaGOT au G.O.A.T?