Sawaa, kila mtu ana ubora wake.,, ila kuna mmoja atatokea bora zaidi ya mwenzie, kwanzia ufundi, ubora wa magoli, freekik zilizoenda shule, ukija kwenye vikombe, tuzo n.k. Messi sio wakumlinganisha na mchezaji yeyote yule.
Wachezaji wangu bora kuwahi kutokea
Messi
Maradona