Messi anastahili kuwa GOAT wa Dunia

Uyo uliyemtaja Anacheza timu gani katika ndondo cup?
Mpira haujaanza jana, huyo ni msitaafu anakula mafao. Ni raia wa Brazil.


Messi kwenye upigaji wa Free kick hajawafikia mafundi wengine wa kazi hiyo kama Beckam, Zico, mtume na nabii wa mwisho wa soka (Ronaldinho) na Maradona.


Unaposema fundi wa free kick ulimwenguni ni Juninho Pernambucano ambaye aligundua knuckleball technique ya upigaji mpira ambayo mpaka kesho ni wachezaji wachache sana wanaoiweza.
 
Binafsi namtambua Messi tu
 
Meanwhile yule.jamaa mmoja yupo zake kwa wapemba anakula urojo na kucheza ndondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…