UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 255
- 314
What a Free kick 🐐🐐🔥🔥🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me now im going YouTube😂😂😂Unamfahamu Juninho?, huyu ndo fundi wa hiyo kazi Ulimwenguni.
Hana mshindani
Huyu ambaye anataka kuondoka Arsenal kumkombia Rice au mwingine?Unamfahamu Juninho?, huyu ndo fundi wa hiyo kazi Ulimwenguni.
Hana mshindani
Nenda, ndiye binadamu anayeongoza kwa magoli mengi Ulimwenguni ya Free kickMe now im going YouTube😂😂😂
Ni juninho na Sio Jorginho ✍️✍️✍️Huyu ambaye anataka kuondoka Arsenal kumkombia Rice au mwingine?
Huyo wa Arsenal anaitwa Jorginho, niliyemtaja anaitwa JuninhoHuyu ambaye anataka kuondoka Arsenal kumkombia Rice au mwingine?
Ahahahahahaha 😂😂😂😂sijakataaaaBasi tu kwakuwa ni Messi ila hata Aziz K naweza kufunga hivyo.
Uyo uliyemtaja Anacheza timu gani katika ndondo cup?Huyo wa Arsenal anaitwa Jorginho, niliyemtaja anaitwa Juninho
Mpira haujaanza jana, huyo ni msitaafu anakula mafao. Ni raia wa Brazil.Uyo uliyemtaja Anacheza timu gani katika ndondo cup?
Umenena ukweli, sema hawa watoto wa juzi hawamfahamu.Juninho Pernambucano hajawahi tokea kama yeye. Anafuatiwa na Pele, Ronadinho , Beckam Diego Maradona. Watatu wajuu wote wa Brazil.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ongezea Zico na PirloJuninho Pernambucano hajawahi tokea kama yeye. Anafuatiwa na Pele, Ronadinho , Beckam Diego Maradona. Watatu wajuu wote wa Brazil.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Binafsi namtambua Messi tuMpira haujaanza jana, huyo ni msitaafu anakula mafao. Ni raia wa Brazil.
Messi kwenye upigaji wa Free kick hajawafikia mafundi wengine wa kazi hiyo kama Beckam, Zico, mtume na nabii wa mwisho wa soka (Ronaldinho) na Maradona.
Unaposema fundi wa free kick ulimwenguni ni Juninho Pernambucano ambaye aligundua knuckleball technique ya upigaji mpira ambayo mpaka kesho ni wachezaji wachache sana wanaoiweza.
Yule jamaa mwenye macho ya paka!?Unamfahamu Juninho?, huyu ndo fundi wa hiyo kazi Ulimwenguni.
Hana mshindani
Uko sawa maana ndo uliyemuonaBinafsi namtambua Messi tu