Messi ashangazwa na uwezo wa ajabu uliionyeshwa na Ronaldo dhidi ya Atletico Madrid

Messi ashangazwa na uwezo wa ajabu uliionyeshwa na Ronaldo dhidi ya Atletico Madrid

Messi sijui anataka kutupa ujumbe gani maana anayoyafanya ronaldo yeye anayafanya kila siku tena zaidi ya hapo, nahisi messi ni mnafiki
huenda Kuna mijinga ameamua kuilisha matangao pori ili waendelee kuamini ujinga wao
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ king LM10 punguza unafki mungu anakuona ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Messi sijui anataka kutupa ujumbe gani maana anayoyafanya ronaldo yeye anayafanya kila siku tena zaidi ya hapo, nahisi messi ni mnafiki
Messi ni kama mwana diplomasia .. huwa hawezi kumwambia mtu asiye mfikia kiwango kuwa hamfikii bali atamsifia kuwa anajua ili huyo mtu aweze kupata moyo ....

Mara kibao tu alisha sikika akimsifia rooney

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi na Ronaldo ni kama mapacha wasiofanana. Wote wanatabia zinazofanana kwenye dimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hawafanani. Ukiwataja wafungaji bora watatu wa msimu utamkuta messi na Ronaldo. Ukitaja tatu bora ya waliotengeneza nafac za magoli ulaya unamkuta messi tu, ukitaja tatu bora ya walioongoza kwa assist ulaya messi humkosi na ukitaja tatu bora ya walioongoza kwa kudrible mpira ulaya humkosi messi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom