Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
OK,let's do it barca 4-1 Lyon,ππππWapumbavu hao Barca wanabebwa bebwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK,let's do it barca 4-1 Lyon,ππππWapumbavu hao Barca wanabebwa bebwa tu
huenda Kuna mijinga ameamua kuilisha matangao pori ili waendelee kuamini ujinga waoMessi sijui anataka kutupa ujumbe gani maana anayoyafanya ronaldo yeye anayafanya kila siku tena zaidi ya hapo, nahisi messi ni mnafiki
Usije kukimbia tu ..humu !!!Robo fainali ndo kituo chao cha mwisho
Messi ni kama mwana diplomasia .. huwa hawezi kumwambia mtu asiye mfikia kiwango kuwa hamfikii bali atamsifia kuwa anajua ili huyo mtu aweze kupata moyo ....Messi sijui anataka kutupa ujumbe gani maana anayoyafanya ronaldo yeye anayafanya kila siku tena zaidi ya hapo, nahisi messi ni mnafiki
Ungekuwa na abc za soka usingeandika huu utotoOK,let's do it barca 4-1 Lyon,ππππ
Na wewe ungekua na A E I O U usingekuja kureply uvulana wako hapa.π€π€π€π€Ungekuwa na abc za soka usingeandika huu utoto
Kamwene π
Swadaktaaronaldo=football
Hapana hawafanani. Ukiwataja wafungaji bora watatu wa msimu utamkuta messi na Ronaldo. Ukitaja tatu bora ya waliotengeneza nafac za magoli ulaya unamkuta messi tu, ukitaja tatu bora ya walioongoza kwa assist ulaya messi humkosi na ukitaja tatu bora ya walioongoza kwa kudrible mpira ulaya humkosi messi.Messi na Ronaldo ni kama mapacha wasiofanana. Wote wanatabia zinazofanana kwenye dimba.
Sent using Jamii Forums mobile app