Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Atafanyaje hawezi kuchukua coper amerca wala world cup apumzike wakina aguero wapige mbungi Argentina atatoboa nina uhakika
 
Huyu jamaa muoga sana..ata huko barcelona hawezi fikisha miaka 33 atakuwa ameacha soka kulinda heshima yake
 
Argentina and Barcelona forward Lionel Messi, 29, announced his retirement from international football after missing a penalty in the final of the Copa America against Chile.

"For me the national team is over. I've done all I can, it hurts not to be a champion," Messi said.

Messi kawa Mtanzania? Wanasoka wa Tanzania wanaanza kuroga mapemaaaaa, wakifikia umri wa ku-mature (miaka 26 - 30) anastaafu soka baada ya dawa za kichawi kwisha ukali wake mwilini. I hate soka la Bongo.
 
Argentina and Barcelona forward Lionel Messi, 29, announced his retirement from international football after missing a penalty in the final of the Copa America against Chile.

"For me the national team is over. I've done all I can, it hurts not to be a champion," Messi said.

Ushuzi huyo...
Kawafungisha wenzie halafu anakimbiza makalio yake...
 
[emoji106] Nimeshaanza kuku consider sasa maana naona akili yako inaakili!
Hahahah maana wangechukua hawa ingekuwa tabu sana. Kaona bora asande mapema tu. Failure Messi
 
Hvi kwanini nchi inapokuwa na mastaa wengi huwa haichukui makombe? Naangalia Argentina, Belgium, Ivory cost n.k! hii huwa inanishangaza sana!
 
Ili Messi approve failure kabisa, inabidi next time Argentina wachukue kombe
Itakuwa poa ili aone wivu kwa wenzake. Hii sio fainali tatu hawa Argentina wanakosa ubingwa
 
9eee6ed5cae55f192c87f498d0a26c20.jpg
 
Mimi sio shabiki wa Leo, lakini kwa yaliyotokea usiku wa kuamkia leo, namuonea huruma Leo Messi. Ningependa ashinde. Timu imefika fainali mara nne; halafu imepoteza zote? Mh! No.
 
  • Thanks
Reactions: DLS
Back
Top Bottom