Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Messi has never lifted trophy with captain band....mavi yake
 
Unapokuwa mchezaji bora ulaya na dunia, halafu unasema nafasi uwaachie wengine... naona fighting spirit hana huyu jamaa.
Kufight na nani sasa dunia hii? Kuna mtu Messi anaweza fight nae kisoka? Labda akafight sayari nyingine huko
a2b1cc9b827a0b3e815e0f4b2e463790.jpg

0497f1948d5003d8c63c678a5c2ecd6b.jpg

245646511a9fb2c973eafc4c7134319d.jpg
780929b5fcacd2a511792dc7d908089b.jpg
 
Kumbe haikua inacheza argentina alikua anacheza messi!! Mi nadhani tuondoe hii nadharia ya kusema messi ameshindwa kuipa timu yake ya taifa ubingwa, unapoongelea team(football) basi ni zaidi ya mtu mmoja.
 
...ame-panick huyu,huwezi kustaafu timu ya taifa muda mfupi baada ya kufungwa kwenye fainali,at the age of 29!
Ila kama hatarudi,hii ndio itakuwa mbaya zaidi,ataonekana amekimbia majukumu!, siku zote kufungwa au kushinda ni sehemu ya matokeo.

Akimbie majukumu asikimbie yeye inamwathiri nini wakati he can make good life out of soccer? Ni vizuri kuheshimu mawazo ya uwajibikaji. Na anaweza kufanya kitu kingine kizuri zaidi cha kumweka kwenye picha kama anapenda fame.

Siyo hapa bongo ujinga ujinga wa kipumbavu tu!
 
Pumzika Messi kusema kweli hakuwa na bahati na timu ya Taifa pamoja na juhudi zote alizozionyesha, utabaki kuwa mmoja kati ya wachezaji bora wa wakati wote kuwahi kuvaa jezi ya Argentina kando ya Diego Armando Maradona.
Aisee ivi una muwekaje huyo Messi n Maradona pamoja Maradona ndo legend wa Argentina embu usimlinganiehshe na huyo Messi wenu, Argentina walichukua kombe la dunia kwa juhudi zke binafsi za Maradona kitu ambacho Messi ameshindwa
 
Kikubwa ni team kushinda sio record binafsi pia kwa mimi ndio kweli anaongoza lakini ni baada ya kucheza mechi 113 goal 55 wakati Batistuta mechi 78 goal 54 hii ukija kwa hesabu nyepesi goal ration Batistusta alikuwa top. Lakini leo sio issue ya records ni kushindwa kushinda ubingwa wowote na team ya taifa end of story.
Inavyoonesha kipimo cha mess ni hao kina batgoal na sio hata maradona na Pele au zizou na gaucho hao nadhani wako mbali nae sana maana hao wamechukua kila kile mchezaji wa soka anapaswa kuchukua
 
About time the world stopped making excuses for his shortcomings.

1. Came closer way too many times, but couldn't pull the trigger.

2. Surrounded by arguably the most talented and closer to a full package squad Argentina has ever witnessed, but couldn't inspire them.

3. Throws in the towel when his team and the whole nation needed him the most. Is there any ounce of greatness in that??

But he'll be back. He just wants everybody to go kiss his butt and beg him to re-think his retirement. Maybe that's his way of taking the losing pressure off his team.
 
Higuain anakosa magoli ya wazi kabisa ulitaka Messi afanye nini zaidi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Najaribu kuvaa uhusika wa Mr. Messi, four finals unapoteza zote. Ah it hurt really bad man!! Hata mm ninge-retire kwakweli.. Uzalendo na utaifa tupa kule. Maybe messi kagundua kuwa yeye ndo gundu kwenye timu, ameamua kuwa kama Noah kujitosa majini to save the boat and the crew.
 
Nimeamka kuangalo huo mpira..ilipofika penati na kuona mess anaanza nikasema huyu anakosa....then akapiga penat ya mwendo kasi....
 
Back
Top Bottom