Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Nina uhakika huyu Dwarf, (andunje) angekuwa mreno angestaafu national team akiwa na miaka 19!
cr7 is the HERO!
1467046521002.jpg
 
Amepata sababu.. Moyoni mwake barcelona imetawala kuliko argentina
 
Messi anazingua timu ya taifa haipend. Kwanza akicheza timu ya taifa hata midevu hanyoi anakuwa kama zee la miaka 90 midevu yenyewe michafuuu kama mkojo wa punda, ila basalona ananyoa anakuwa mcute alafu anataka ashinde? Mfyuuu
 
Uwezo wake ndo huo hana jipya apishe watoto wengine.maradona amesema wasirudi ajentina hawna jipya
 
Back
Top Bottom