Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuri sana mkuu, andunje nilimuona mara moja tu pale alipo-DIVE na alipopiga penati ya mwendokasi basi!Alikuwa wapi ndani ya dakika tisini?
Apewe wilaya
Mpigie simu umwambieKwa hili sikubaliani na MESSI hata kidogo. Arudi nyuma atafakari uamuzi wake. Bado wanasoka tunamhitaji sana kijana huyu.
Sawa mkuu ngoja niingie kwenye wire!!! Ha ha haMpigie simu umwambie
Nina uhakika huyu Dwarf, (andunje) angekuwa mreno angestaafu national team akiwa na miaka 19!
cr7 is the HERO!
Licha ya kuwa 31, bado anapambana, sio quiter.
Pnc 1 bhana, sasa Ronaldo kafata nini hapa! Hii pic imeniuzunisha...kitu cha kati kabisaa, haaah
Daaaah mkuu yani Spain ndio wamezid nichanganya Kweli siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza[emoji22]Pnc 1 bhana, sasa Ronaldo kafata nini hapa! Hii pic imeniuzunisha...kitu cha kati kabisaa, haaah
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Daaaah mkuu yani Spain ndio wamezid nichanganya Kweli siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza[emoji22]
Alikuwa wapi ndani ya dakika tisini?