Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanakufuru kumuita 'Messiah' wa soka...Messiah hana hata nishani ya kombe la Dunia wala Copa America....AibuMessi has never lifted trophy with captain band....mavi yake
Kufight na nani sasa dunia hii? Kuna mtu Messi anaweza fight nae kisoka? Labda akafight sayari nyingine hukoUnapokuwa mchezaji bora ulaya na dunia, halafu unasema nafasi uwaachie wengine... naona fighting spirit hana huyu jamaa.
...ame-panick huyu,huwezi kustaafu timu ya taifa muda mfupi baada ya kufungwa kwenye fainali,at the age of 29!
Ila kama hatarudi,hii ndio itakuwa mbaya zaidi,ataonekana amekimbia majukumu!, siku zote kufungwa au kushinda ni sehemu ya matokeo.
Aisee ivi una muwekaje huyo Messi n Maradona pamoja Maradona ndo legend wa Argentina embu usimlinganiehshe na huyo Messi wenu, Argentina walichukua kombe la dunia kwa juhudi zke binafsi za Maradona kitu ambacho Messi ameshindwaPumzika Messi kusema kweli hakuwa na bahati na timu ya Taifa pamoja na juhudi zote alizozionyesha, utabaki kuwa mmoja kati ya wachezaji bora wa wakati wote kuwahi kuvaa jezi ya Argentina kando ya Diego Armando Maradona.
Inavyoonesha kipimo cha mess ni hao kina batgoal na sio hata maradona na Pele au zizou na gaucho hao nadhani wako mbali nae sana maana hao wamechukua kila kile mchezaji wa soka anapaswa kuchukuaKikubwa ni team kushinda sio record binafsi pia kwa mimi ndio kweli anaongoza lakini ni baada ya kucheza mechi 113 goal 55 wakati Batistuta mechi 78 goal 54 hii ukija kwa hesabu nyepesi goal ration Batistusta alikuwa top. Lakini leo sio issue ya records ni kushindwa kushinda ubingwa wowote na team ya taifa end of story.
Messi has never lifted trophy with captain band....mavi yake
Hahahah maana wangechukua hawa ingekuwa tabu sana. Kaona bora asande mapema tu. Failer Messi
Halafu wanakufuru kumuita 'Messiah' wa soka...Messiah hana hata nishani ya kombe la Dunia wala Copa America....Aibu
About time the world stopped making excuses for his shortcomings.
1. Came closer way too many times, but couldn't pull the trigger.
2. Surrounded by arguably the most talented and closer to a full package squad Argentina has ever witnessed, but couldn't inspire them.
3. Throws in the towel when his team and the whole nation needed him the most. Is there any ounce of greatness in that??
But he'll be back. He just wants everybody to go kiss his butt and beg him to re-think his retirement. Maybe that's his way of taking the losing pressure off his team.
Kaifikisha 2004 vs GreeceVipi Cristiano ana World Cup au Euro?? Hata kuifikisha fainali Ureno
Inasikitisha sana, amekata tamaa kungali mapema mno.Higuain anakosa magoli ya wazi kabisa ulitaka Messi afanye nini zaidi