Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Amepata sababu.. Moyoni mwake barcelona imetawala kuliko argentina
 
Messi anazingua timu ya taifa haipend. Kwanza akicheza timu ya taifa hata midevu hanyoi anakuwa kama zee la miaka 90 midevu yenyewe michafuuu kama mkojo wa punda, ila basalona ananyoa anakuwa mcute alafu anataka ashinde? Mfyuuu
 
World Cup ataiangalia sitting room kwenye runinga tu huyo Bwana mdogo Messi
 
Uwezo wake ndo huo hana jipya apishe watoto wengine.maradona amesema wasirudi ajentina hawna jipya
 
Pnc 1 bhana, sasa Ronaldo kafata nini hapa! Hii pic imeniuzunisha...kitu cha kati kabisaa, haaah
Daaaah mkuu yani Spain ndio wamezid nichanganya Kweli siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza[emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…