Yopinto
Member
- Jul 27, 2021
- 61
- 62
Nataka kuonyesha kuwa mashabiki wengi wa Ronaldo hawana akili japo sio wote kuna vipengele hapa nitaviweka hapa na utambue kuwa wewe kama utaamini Ronaldo ni bora kuliko Messi basi Huna akili timamu
1. Magoli 900+ sio kigezo cha mchezaji kuwa bora kuliko mwingine lakini hii inaonyesha kwamba yupo vizuri katika eneo Lake la ushambuliaji, kumbuka Messi sio full striker lakini ameweza kuweka kimyani goli nyingi zaidi ya striker wengi, pia Messi amecheza midfield kuliko Ronaldo lakini attack yake huwa ni kama ya striker, hivyo magoli 900 yasikuchanganye ukaona jamaa anaupiga mwingi
2. Fame, ni wazi Ronaldo anakijiji cha fans na wengi wao hawana akili na pia ni watu ambao hawana talent hivyo penaldo anakuwa role model wao kwa kuwa anajituma sana, kwa upande wa Messi mafanikio ya kisoka kwake ni talent hivyo inawakwaza wajinga
3. Magoli ya vichwa na acrobatics goals, sasa hapa ni wazi wajinga wanatumia kama mtu kuwa best of others kutokana na hili wale wachezaji wengine wanaofunga aina hiyo ya magoli basi ni bora kuliko Messi, magoli ya vichwa kwa Ronaldo ni sawa kutokana na body appearance ambayo Messi hana, lakini kuhusu acrobatics ni bahati kwa wachezaji wala si kipimo cha ubora
4. Kucheza ligi mbalimbali, hapa napo wapuuzi ni wengi sana, ni wazi kwamba Ronaldo amekipiga ligi nyingi kuliko Messi, inasemekana alikuwa bora kila alipoenda ni sahihi lakini kuna wakati alirudi pale Manchester United akafanya madudu mimi sitamlaumu wala kushusha kiwango chake ila nitakuelekeza kitu hapa, kama unajua UEFA na EUROPA basi unatakiwa uelewe kwa nini ziliwekwa, UEFA zinajumuisha timu bora kwenye ligi mbalimbali, hivyo kama Messi alicheza UEFA basi aliweza kukutana na timu bora za ligi mbalimbali na kitu kikubwa ni kwamba unaposhiriki UEFA ni umecheza tournament yenye ubora Duniani
5. Mafanikio kimataifa, japo kwa sasa mashabiki wa penaldo wamelitoa ila walitusumbua sana, kikubwa ni kwamba kutoka best loser hadi kuwin UEFA nation sio jambo la ubora sana ni kujituma tu, lakin Messi alionyesha hivyo hivyo baada ya kufungwa mechi ya kwanza world Cup
Je ni nini kinaonyesha ubora wa mchezaji
Tukichanganya skills zote za mchezaji ndipo tunapata ubora wa mchezaji
Messi Ana tactical playing
Messi Ana visionary pass
Messi Ana best attacking strategies japo sio striker all the time.
Messi ni undefined ball shooter namaanisha hajiandai kupiga mpira kama ilivyo kawaida ya Ronaldo
Messi ni best dribbler
Messi anajua kukaa na mpira
Messi knows to create chances
Hapa tunaongelea mpira, kama unapenda mpira mzuri utampenda Messi, ila sikuzuii kumpenda Ronaldo bali nataka umpende yeye wakati
Umeelewa kuwa hamzidi Messi chochote kwenye mpira, kama ambavyo utaipenda Ukraine ukijua Russia ni hatari kuliko Ukraine
Usipoelewa na hii wewe ni mbumbumbu