Messi au Ronaldo, leo utatambua mashabiki wa Ronaldo wengi wao hawana akili

Messi au Ronaldo, leo utatambua mashabiki wa Ronaldo wengi wao hawana akili

Zamani nilikua nikiamini washabiki wa Ronaldo ni wagonjwa wa akili, Ila baada ya kujiridhisha kabisa nikaja kugunda washabiki wa messi ni wagonjwa zaidi. nilishaacha kupigishana nao kelele
Wapo kabisa wanaoamini hata mwaka huu messi pia alistahiki kupewa uchezaji bora.
Hakuna hata shabiki mmoja wa Messi Ana mawazo pungufu kama yako
 
Messi, Ronaldo ni habari za kale.
 
Hakuna hata shabiki mmoja wa Messi Ana mawazo pungufu kama yako

chengine, huwa hawachelewi kutoa matusi na kukashifu watu, Na pia huwa wanajiona wana akili zaidi kuliko kila mtu.
 
Back
Top Bottom