Zamani nilikua nikiamini washabiki wa Ronaldo ni wagonjwa wa akili, Ila baada ya kujiridhisha kabisa nikaja kugunda washabiki wa messi ni wagonjwa zaidi. nilishaacha kupigishana nao kelele
Wapo kabisa wanaoamini hata mwaka huu messi pia alistahiki kupewa uchezaji bora.