Mkuu unahitaji kuona messi anafanya nini kwenye soka la ushindani? eg ulaya Ni muda wa pesheni huu acha aleeeeIla bado ana uwezo mkubwa sana
Messi anachoka mapema sana!! kitu chuma R7 bwana!
Maamuzi mengine tuseme ni personal tuu.. messi hawezi kuogopa EPL, kwani kuna beki au kiungo wa EPL hajateswa na messi?Huyu Messi nilitamani sana siku moja kumwona akicheza EPL, kama ni mpunga tu watu waliweka mezani wa kutosha. Nilijiuliza sijui nini kilitokea, nilibaki na jibu moja tu, huenda hakuwa na mapenzi ya kucheza EPL au labda kuwa na ile fear ya jina lake kufunikwa au kupotea ghafla kulingana na nature ya ligi hiyo kinachopelekea yeye ku opt kwenda ligi nyepesi nyepesi.
Asntee kwa kumjibu...hakuna Beki wa epl asiemuacha laana kuyu kirobotoMaamuzi mengine tuseme ni personal tuu.. messi hawezi kuogopa EPL, kwani kuna beki au kiungo wa EPL hajateswa na messi?
Lakini tukumbuke pia Messi amezifunga timu zote kubwa za EPL alizokutana nazoHuyu Messi nilitamani sana siku moja kumwona akicheza EPL, kama ni mpunga tu watu waliweka mezani wa kutosha. Nilijiuliza sijui nini kilitokea, nilibaki na jibu moja tu, huenda hakuwa na mapenzi ya kucheza EPL au labda kuwa na ile fear ya jina lake kufunikwa au kupotea ghafla kulingana na nature ya ligi hiyo kinachopelekea yeye ku opt kwenda ligi nyepesi nyepesi.
Ongeza na Spurs hapo.Lakini tukumbuke pia Messi amezifunga timu zote kubwa za EPL alizokutana nazo
Man united
Chelsea
Man city
Liverpool
Arsenal
Na zote amewahi kuzifunga siyo chini ya goli mbili...sasa hii inadhihirisha hata angecheza EPL bado angewafunga tuu kama timu kubwa hizi kazifunga basi hao kina newcastle, everton na Westham angezifunga tuu...
Maamuzi mengine tuseme ni personal tuu.. messi hawezi kuogopa EPL, kwani kuna beki au kiungo wa EPL hajateswa na messi?
Basi nahitimisha hakuwa na mapenzi ya kucheza EPL, so it was just personal lakini kuzifunga timu za EPL bado haitoshi kuwa ndiyo utetezi wake.Lakini tukumbuke pia Messi amezifunga timu zote kubwa za EPL alizokutana nazo
Man united
Chelsea
Man city
Liverpool
Arsenal
Na zote amewahi kuzifunga siyo chini ya goli mbili...sasa hii inadhihirisha hata angecheza EPL bado angewafunga tuu kama timu kubwa hizi kazifunga basi hao kina newcastle, everton na Westham angezifunga tuu...
Kwa sasa Ulaya hakuna soka.Wamebaki wavunja kuni,talent zinakimbilia Uarabuni na Marekani kupiga mpunga.Mchezaji wa klabu ya Inter Miami ya Marekani amezidi kuudhirishia ulimwengu kuwa yeye bado ni mchezaji bora zaidi. Messi mpaka sasa amecheza michezo mitatu na amefunga magoli 5 pamoja na assist 1 yaani amehusika katika magoli 6 katika michezo 3 pekee wastani wa magoli 2 kila mchezo. Na bado anaendelea kukiwasha kila uchwao.
Binafsi naona Messi hakufaa kwenda Marekani kiwango chake bado kinamruhusu kuendelea kucheza katika bara la Ulaya, ilikuwa ni mapema sana kwenda huko.
EPL ni ligi ya mguu wa shingo mguu wa roho. Ni ngumu kwa mchezaji bora kucheza kwa muda mrefu kwani kwa msimu ni nadra mchezaji kumaliza ligi bila majeruhi. Otherwise mchezaji acheza akiwa kijana 18-22yrs. Baada ya hapo kimbilia ligi za Spain,Italy au Ufarasa. Neymar angekuwa EPL sizani km angekuwa bado anacheza hadi leo.Huyu Messi nilitamani sana siku moja kumwona akicheza EPL, kama ni mpunga tu watu waliweka mezani wa kutosha. Nilijiuliza sijui nini kilitokea, nilibaki na jibu moja tu, huenda hakuwa na mapenzi ya kucheza EPL au labda kuwa na ile fear ya jina lake kufunikwa au kupotea ghafla kulingana na nature ya ligi hiyo kinachopelekea yeye ku opt kwenda ligi nyepesi nyepesi.