Fountain of Youth
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,026
- 2,299
GOAT 🐐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EPL ndo ligi ngumu? Ligi ambayo mtu anabeba makombe kadri atakavyo? Emb pga hesabu vizuri uone takribani miaka 15 UEFA imenasa wapi hasa. EPL ni ligi ya kawaida tu, hiki ni kipindi ambacho vilabu vikubwa ulaya vimeanza kupoteza muelekeo hasa Spain na Italy.Huyu Messi nilitamani sana siku moja kumwona akicheza EPL, kama ni mpunga tu watu waliweka mezani wa kutosha. Nilijiuliza sijui nini kilitokea, nilibaki na jibu moja tu, huenda hakuwa na mapenzi ya kucheza EPL au labda kuwa na ile fear ya jina lake kufunikwa au kupotea ghafla kulingana na nature ya ligi hiyo kinachopelekea yeye ku opt kwenda ligi nyepesi nyepesi.
Achana na beki, mpaka makipa. Hapo tusizungumzie makocha.Maamuzi mengine tuseme ni personal tuu.. messi hawezi kuogopa EPL, kwani kuna beki au kiungo wa EPL hajateswa na messi?
Tukumbuke pia alizifunga zikiwa ktk ubora wao, Totenham alichapwa 2 na Messi, Lloris akiwa golini pale England.Lakini tukumbuke pia Messi amezifunga timu zote kubwa za EPL alizokutana nazo
Man united
Chelsea
Man city
Liverpool
Arsenal
Na zote amewahi kuzifunga siyo chini ya goli mbili...sasa hii inadhihirisha hata angecheza EPL bado angewafunga tuu kama timu kubwa hizi kazifunga basi hao kina newcastle, everton na Westham angezifunga tuu...
Watu wanajisahaulisha kuhusu Messi, tatizo tuna vijana wengi ambao wanaojua mpira kuanzia miaka ya 2018, hawa watakwambia kabisa Mbappe ni bora saaana kuliko Messi. Wasichojua ni kwamba kwa umri wa Mbappe, Messi kwa umri huo alikiwasha balaa, hakukuwa na dau la kumtoa Barca.Ongeza na Spurs hapo.
Miye ni timu Ronaldo Lia Lia
Jana CR7 kaiwezesha A Nassr kuingia semi final,hivyo na Messi,sijawahi kumkubari Messi,ila Kwa anayoyafanya uwanjani hakuna namna
Ile faulo ya Messi ni konyo
Kwamba una wasiwasi na class ya messi?alicheza na nani? wacheza NFL wa California
Kwamba una wasiwasi na class ya messi?
kipi hajafanya kwa wachezaji wa kiwango cha Dunia?Wachezaji anaocheza nao ni wa chini ya kiwango cha kimataifa, MLS ni kama Ligi ya Bongo iliyochangamka.
Ronaldo anacheza na wauza kachori na wauza tende huko Saudia anapiga ndondo na akina Raja na Zamalek. Mashabiki wenzako wa Ronaldo wamekaa pembeni wanakuchora unambishia GOAT La pulga🐐.Wachezaji anaocheza nao ni wa chini ya kiwango cha kimataifa, MLS ni kama Ligi ya Bongo iliyochangamka.
Ronaldo anacheza na wauza kachori na wauza tende huko Saudia anapiga ndondo na akina Raja na Zamalek. Mashabiki wenzako wa Ronaldo wamekaa pembeni wanakuchora unambishia GOAT La pulga🐐.
kipi hajafanya kwa wachezaji wa kiwango cha Dunia?
MLS>Kebab league. Messi kaenda timu ya mkiani MLS kaeinua overall performance ya Inter miami wakati huo Ronaldo wote tumeona alichokifanya na Al NassrRonaldo anacheza na Benzema, Mahrez, Mane, Kante, Savic, Fabinho, Firmono, Banega, Messi anacheza na nani?
MLS>Kebab league. Messi kaenda timu ya mkiani MLS kaeinua overall performance ya Inter miami wakati huo Ronaldo wote tumeona alichokifanya na Al Nassr
Angalia rank ya ligi ya MLS duniani, alafu utuletee na rank ya ligi ya Saudi duniani tulinganishe. Acha namba ziongee!Sasa MLS asionjoy vipi ? anacheza na vilaza watupu
Kwa maelezo yangu inaonesha Messi is an extremely, unmatched,undisputed, phenomenonal football player the world has ever witnessed.Kwa maelezo yako Umethibitisha kuwa MLS ni circus
Kwa maelezo yangu inaonesha Messi is an extremely, unmatched,undisputed, phenomenonal football player the world has ever witnessed.
Alipokua french league alishinda Ballon d or unasemaje alikua kituko.alipokuwa French League aliishia kuwa kituko.
Alipokua french league alishinda Ballon d or unasemaje alikua kituko.