Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Hii pia ni moja ya Point 💪. Nime comment huko juu nikajibiwa kwamba Messi amezifunga timu kadhaa za EPL na kwamba hakuna beki wala viungo wa EPL waliofua dafu mbele ya Messi. Lakini nikaendelea kujiuliza binafsi hizo timu za EPL alizozifunga alikutana nazo mara ngapi kwa msimu. Kama wanakutana michuano ya UEFA na friendly matches au matches za pre-season hiyo bado haitoshi kujaji consistency na adaptability na Messi endapo angekuwa EPL.EPL ni ligi ya mguu wa shingo mguu wa roho. Ni ngumu kwa mchezaji bora kucheza kwa muda mrefu kwani kwa msimu ni nadra mchezaji kumaliza ligi bila majeruhi. Otherwise mchezaji acheza akiwa kijana 18-22yrs. Baada ya hapo kimbilia ligi za Spain,Italy au Ufarasa. Neymar angekuwa EPL sizani km angekuwa bado anacheza hadi leo.