Messi bado ni mchezaji mzuri sana

Messi bado ni mchezaji mzuri sana

EPL ni ligi ya mguu wa shingo mguu wa roho. Ni ngumu kwa mchezaji bora kucheza kwa muda mrefu kwani kwa msimu ni nadra mchezaji kumaliza ligi bila majeruhi. Otherwise mchezaji acheza akiwa kijana 18-22yrs. Baada ya hapo kimbilia ligi za Spain,Italy au Ufarasa. Neymar angekuwa EPL sizani km angekuwa bado anacheza hadi leo.
Hii pia ni moja ya Point 💪. Nime comment huko juu nikajibiwa kwamba Messi amezifunga timu kadhaa za EPL na kwamba hakuna beki wala viungo wa EPL waliofua dafu mbele ya Messi. Lakini nikaendelea kujiuliza binafsi hizo timu za EPL alizozifunga alikutana nazo mara ngapi kwa msimu. Kama wanakutana michuano ya UEFA na friendly matches au matches za pre-season hiyo bado haitoshi kujaji consistency na adaptability na Messi endapo angekuwa EPL.
 
YAni bado mchezaji mzuri kwa kigezo cha MLS? ushibiki maandazi bana
 
Huyu Messi nilitamani sana siku moja kumwona akicheza EPL, kama ni mpunga tu watu waliweka mezani wa kutosha. Nilijiuliza sijui nini kilitokea, nilibaki na jibu moja tu, huenda hakuwa na mapenzi ya kucheza EPL au labda kuwa na ile fear ya jina lake kufunikwa au kupotea ghafla kulingana na nature ya ligi hiyo kinachopelekea yeye ku opt kwenda ligi nyepesi nyepesi.
EPL ipi ambayo haikulambishwa sakafu na Messi?
Itoshe kusema amecheza kwenye ligi bora, akaonyesha ubora ndani ya kikosi bora kuwahi kutokea
 
Mchezaji wa klabu ya Inter Miami ya Marekani amezidi kuudhirishia ulimwengu kuwa yeye bado ni mchezaji bora zaidi. Messi mpaka sasa amecheza michezo mitatu na amefunga magoli 5 pamoja na assist 1 yaani amehusika katika magoli 6 katika michezo 3 pekee wastani wa magoli 2 kila mchezo. Na bado anaendelea kukiwasha kila uchwao.

Binafsi naona Messi hakufaa kwenda Marekani kiwango chake bado kinamruhusu kuendelea kucheza katika bara la Ulaya, ilikuwa ni mapema sana kwenda huko.
Leo kafunga mawili,jumla saba
 
Hakuna influence anyoleta, ila washabiki wake lialia ndio hao wanaopiga makelele
Miye ni timu Ronaldo Lia Lia
Jana CR7 kaiwezesha A Nassr kuingia semi final,hivyo na Messi,sijawahi kumkubari Messi,ila Kwa anayoyafanya uwanjani hakuna namna

Ile faulo ya Messi ni konyo
 
Back
Top Bottom