Usi mfananishe kagere na vitu vya ajabuNasema na ninarudia tena kusema Messi unaeweza kumfananisha japo kidogo na Cr7 ni messi wa Barca tu..Nje ya hapo messi hata Kagere hampati..!! Naona copa america watu mshaanza kulia lia mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]timu inakaa kabisa inamtegemea Messi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Argentina bhana waache bhangi.View attachment 1129132
So huo ukubwa wake na manjonjo akiwa tu Barcelona huwaga hatuuelewi yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kipaji kinakuwepo akivaa uzi wa Barca tu???Tatizo mnachanganyaga vitu vinne kwa wakati mmoja
(1)Messi
(2)Cr 7
(3)Fc Barcelona
(4)Argentina National Team
Ukweli hauwezi kupata chochote unacholazimisha kutuaminisha....utasema mengi lakini bado mchezaji bora na Extra ordinary atabaki kua mmoja tu duniani... Wengi wamejaribu kumlinganisha na magwiji wengine waliotangulia lkn inafikia Mahala wanakwambia huyo kiumbe ni hatari!... A creature from another planet!...
Makocha wote wakubwa wa dunia wameshamjadili na kutoa takwimu zao, wengine wakimfananisha na mchezaji wa PlayStation!....
Is it MESSI or MESS? The later befits him!Nasema na ninarudia tena kusema Messi unaeweza kumfananisha japo kidogo na Cr7 ni messi wa Barca tu..Nje ya hapo messi hata Kagere hampati..!! Naona copa america watu mshaanza kulia lia mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]timu inakaa kabisa inamtegemea Messi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Argentina bhana waache bhangi.View attachment 1129132
Huu ushuzi tu Ile brazil ya 2002 mbona ilikuwa mastaa mpk benchTimu ikawa na masuperstaa wengi ni matachache sana kufanikiwa, kila mtu anajiona mkubwa na Kocha mara nyingi anakuwa hawezi kucontrol dressing room
Kumbuka hata Samata wa Genk sio Yule wa Taifa starsSo huo ukubwa wake na manjonjo akiwa tu Barcelona huwaga hatuuelewi yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kipaji kinakuwepo akivaa uzi wa Barca tu???
Fainali nne alafu akachukua kombe au?Messi kacheza fainali NNE na Argentina
sijui mnataka afanye nn zaidi akiwa Argentina