rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Nasema na ninarudia tena kusema Messi unaeweza kumfananisha japo kidogo na Cr7 ni messi wa Barca tu..Nje ya hapo messi hata Kagere hampati..!! Naona copa america watu mshaanza kulia lia mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]timu inakaa kabisa inamtegemea Messi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Argentina bhana waache bhangi.