Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Punguza mapenzi,,,mess kweli hawezi kuwa vizuri akiwa nje barca,atoke akacheze club tofauti tofauti ili tuone vitu vyake vigeni
Tatizo mnachanganyaga vitu vinne kwa wakati mmoja
(1)Messi
(2)Cr 7
(3)Fc Barcelona
(4)Argentina National Team
Ukweli hauwezi kupata chochote unacholazimisha kutuaminisha....utasema mengi lakini bado mchezaji bora na Extra ordinary atabaki kua mmoja tu duniani... Wengi wamejaribu kumlinganisha na magwiji wengine waliotangulia lkn inafikia Mahala wanakwambia huyo kiumbe ni hatari!... A creature from another planet!...
Makocha wote wakubwa wa dunia wameshamjadili na kutoa takwimu zao, wengine wakimfananisha na mchezaji wa PlayStation!....
 
Huyu dogo itakuwa amevuta kamti pombe. ..mchezaji ambaye anaheshimika mpaka na baba yao sir Alex Ferguson toka jijini Manchester. .eti wao ambao wapo tz huku tena manzese kwa mfuga mbwa wanajaribu kum -abuse ilhali hata mpira wa ushindani hawajawahi kucheza
Top Score Wa Argentina Hawezi Vipi kua Bora nje ya Barcelona?
 
Tatizo mnachanganyaga vitu vinne kwa wakati mmoja
(1)Messi
(2)Cr 7
(3)Fc Barcelona
(4)Argentina National Team
Ukweli hauwezi kupata chochote unacholazimisha kutuaminisha....utasema mengi lakini bado mchezaji bora na Extra ordinary atabaki kua mmoja tu duniani... Wengi wamejaribu kumlinganisha na magwiji wengine waliotangulia lkn inafikia Mahala wanakwambia huyo kiumbe ni hatari!... A creature from another planet!...
Makocha wote wakubwa wa dunia wameshamjadili na kutoa takwimu zao, wengine wakimfananisha na mchezaji wa PlayStation!....

Lazima wewe uwe mfatiliaji mzuri wa mpira na si mshabiki maandazi, inavyofahamika Ronaldo ni goal score lakini Messi ni complete player yaani ukitaka ladha ya mpira anakupatia ziada yake ni goal score pia
 
Huyu dogo itakuwa amevuta kamti pombe. ..mchezaji ambaye anaheshimika mpaka na baba yao sir Alex Ferguson toka jijini Manchester. .eti wao ambao wapo tz huku tena manzese kwa mfuga mbwa wanajaribu kum -abuse ilhali hata mpira wa ushindani hawajawahi kucheza

Mzee Ferguson baada ya goli la Messi alionyeshwa vidole vinatetemeka, Mkuu yule Messi anaujua sana mpira kwa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbona anaujua akiwa barca tu??? Yani means hata akihama ligi kama cR7 hawezi kuwa best...
 
Hahah hawa team Ronaldo Wana shida sana mkuu. ...kama wadau wenyewe wakubwa wa soccer duniani Wana utambua uwezo mkubwa alionao Messi. .basi haupaswi kusikiliza maneno ya wabongo ambao hawajui kitu. ...maneno yao ni mfanano na debe tupu. ...

Wanashindwa kutambua kwamba mpira sio mchezo wa mtu mmoja. ..unahitaji wachezaji wote 11 kuwa na chemistry nzuri team itapata mafanikio

Mkuu wewe unaweza kuhama Masaki/ Osterbay ukaenda kuishi Tandale kwa tumbo hoja ya kuhama timu haina mashiko, unajua kwamba Ronaldo asingehamia Real Madrid asingeweza kushinda mataji mengi aliyo nayo sema aumfatilii Messi mbona ameifanyia makubwa sana timu yake ya Argentina
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata ukichukua namba ukazishindanisha mchezaji wao kaachwa mbali sana ni sawa na kufananisha nguvu na akili mmoja anatumia nguvu mwingine Akili
 
Like seriously! !!?.... Wewe una ufahamu mkubwa bwana haya maneno uliyo ya type hayapaswi kutoka kwenye ubongo wako
Na wacheza wote wa BARCA wapewe uraia wa Argentina. Messi he is simply not a GOAT [emoji238]
 
Mkuu wewe unaweza kuhama Masaki/ Osterbay ukaenda kuishi Tandale kwa tumbo hoja ya kuhama timu haina mashiko, unajua kwamba Ronaldo asingehamia Real Madrid asingeweza kushinda mataji mengi aliyo nayo sema aumfatilii Messi mbona ameifanyia makubwa sana timu yake ya Argentina
Lakini baada ya Ronaldo kuondoka Madrid hata ligi yao imewashindaa..[emoji23][emoji23][emoji23] So ronaldo ni best zaidi ya messi. Alipo bhasi mafanikio lazima. Sasa huyu mbilikimo hata timu yake ya taifa inamshindaa
 
That is a FACT Mkuu I did not add any salt. There is a huge difference between Messi na CR7. The good thing about this discussion is that NUMBERS THEY DON’T LIE even for a single second.

Like seriously! !!?.... Wewe una ufahamu mkubwa bwana haya maneno uliyo ya type hayapaswi kutoka kwenye ubongo wako
 
That is a FACT Mkuu I did not add any salt. There is a huge difference between Messi na CR7. The good thing about this discussion is that NUMBERS THEY DON’T LIE even for a single second.

Bring the number in terms of Everything
Starting by Appearance trophies Goals Assists and we can all look at them
 
That is a FACT Mkuu I did not add any salt. There is a huge difference between Messi na CR7. The good thing about this discussion is that NUMBERS THEY DON’T LIE even for a single second.
Utafananisha mchango wa Cr7 kwenye timu zake alizotoka na Messi???[emoji23][emoji23][emoji15][emoji15] Waulize madrid ndo wanajua effect ya kukosekana cr7
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom