baxter
Member
- May 25, 2019
- 24
- 28
Punguza mapenzi,,,mess kweli hawezi kuwa vizuri akiwa nje barca,atoke akacheze club tofauti tofauti ili tuone vitu vyake vigeni
Tatizo mnachanganyaga vitu vinne kwa wakati mmoja
(1)Messi
(2)Cr 7
(3)Fc Barcelona
(4)Argentina National Team
Ukweli hauwezi kupata chochote unacholazimisha kutuaminisha....utasema mengi lakini bado mchezaji bora na Extra ordinary atabaki kua mmoja tu duniani... Wengi wamejaribu kumlinganisha na magwiji wengine waliotangulia lkn inafikia Mahala wanakwambia huyo kiumbe ni hatari!... A creature from another planet!...
Makocha wote wakubwa wa dunia wameshamjadili na kutoa takwimu zao, wengine wakimfananisha na mchezaji wa PlayStation!....