Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Jibu swali messi ameisaidia timu gani nyingine kuchukua kombe nje ya Barcelona?

Kutokuisaidia Argentina kuchukua kombe ndiko kunamfanya afananishwa na Ronaldo nyie kweli wafatiliaji wa mpira au mna mahaba niue.sababu
 
kwani wakishinda huwa anapongezwa nani?
tunajua wazi kabisa na soka oi mchezo wa wazi.
tunaona messi anapojitahidi kuibeba timu ila wachezaji ni kama wanamtegemea yeye.
ile world cup ya 2014 na hii 2018 tumeona wazi kabisa
tafuta uzi wangu wa zamani nilishaelezea kiundani zaidi.
 
Sasa kwa sifa anazotajwa kuwa nazo messi hata ningekuwa mimi ndio mchezaji wa Argentina lazima ningemtegemea yeye aonyeshe maajabu yake tukiwa nae uwanjani lakini tofaut kabisa na matarajio yao wanajikuta wakifungwa nae akiwepo uwanjani
Argentina wameweka matumaini ya kimalaika (sifa anazopewa messi) kwa binadamu mwenye uwezo wa kawaida kabisa kama binadamu wengine
 
Messi kamuacha mbali Pele... We mchezaji alikua hayuko standard mipira ya enzi hizo hata sheria ya offside kulikua bado! Bora linganisha akina maradona na gaucho nao kawaacha chalinze
Kwangu mimi huyo bishololo Ronaldo na mwenzake Messi hawagusi kabisa kwenye level za Pele,japo mimi ni mtoto wa miaka ya 1990's lakini video fupi fupi za Pele nilizofanikiwa kuziona zinanifanya nione kuwa hakuna mwanasoka yeyote kati ya hawa mnaowalinganisha anatosha kumfananisha na Pele..!
Lakini mwisho wa siku hizi mambo za who is the real GOAT huwa zinagubikwa na ushabiki na upenzi plus connection..!
 
Sasa kwa sifa anazotajwa kuwa nazo messi hata ningekuwa mimi ndio mchezaji wa Argentina lazima ningemtegemea yeye aonyeshe maajabu yake tukiwa nae uwanjani lakini tofaut kabisa na matarajio yao wanajikuta wakifungwa nae akiwepo uwanjani
Argentina wameweka matumaini ya kimalaika (sifa anazopewa messi) kwa binadamu mwenye uwezo wa kawaida kabisa kama binadamu wengine
basi utakuwa una shida mahala.
unaingia uwanjani kufanya nini sasa?
anapewa sifa kutokana na alichofanya!
kama ni rahisi, mbona hizo sifa hupewi wewe gwele??
 
basi utakuwa una shida mahala.
unaingia uwanjani kufanya nini sasa?
anapewa sifa kutokana na alichofanya!
kama ni rahisi, mbona hizo sifa hupewi wewe gwele??
Sasa mbona sifa Huwa anaziacha barcelona????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
basi utakuwa una shida mahala.
unaingia uwanjani kufanya nini sasa?
anapewa sifa kutokana na alichofanya!
kama ni rahisi, mbona hizo sifa hupewi wewe gwele??
Sasa si ndio azionyeshe wenzake wanamtegemea afanye maajabu
 
Sasa mbona sifa Huwa anaziacha barcelona????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
1: kwa sababu barca ni team yenye combination inayoeleweka na wanamsikiliza messi na kumuelewa hata neymar alikuwa anacheza vizuri pale barca coz alikuwa anamsikiliza messi, sasa hivi huko aliko psg wamemchoka.

2: tafuta uzi wa zamani nilishajua yatatokea haya niliandika kiundani bro, ila sijui mods walishaufutaga?

nakaribisha maswali
 
Sasa si ndio azionyeshe wenzake wanamtegemea afanye maajabu
"wenzake wanamtegemea"

yeye akiwa argentina anachezaga mara nyingi kiungo wa kati anaingia kulia.
so atoe assist yeye, afunge yeye, akabe yeye! duh bado kudaka na tena team ina mastaa wengi vile.

anafanya vizuri barca kwa sababu moves zinaanzia kwake ndo ziendelee kwa team nzima!
argentina kila mtu anataka acheze anavyojua yeye! mbona basi hujauliza mbona apuero hafungi kama anavyofanyu kule man city?
wenyewe wanajua lawama zitaenda kwa messi kama nyie mnavyolaumu hapa
 
Kwahiyo Barcelona ndio sehemu pekee ya messi kuonyesha ufalme wake?
 
Kwahiyo Barcelona ndio sehemu pekee ya messi kuonyesha ufalme wake?
Yani hata akipelekwa madrid leo atapwayaa..!! ndo anachosema jamaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ronaldo kacheza Man u kaenda madrid ambapo amekutana na wachezaji tofauti na wenye majina lakin still alishine kuliko yeyote leo hii huko Juve yeye ndo mfalme..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Ebu tuache masiharaa Cr7 ni mbaya aisee... anafit kila mahali!
 
Mkuu wewe unaweza kuhama Masaki/ Osterbay ukaenda kuishi Tandale kwa tumbo hoja ya kuhama timu haina mashiko, unajua kwamba Ronaldo asingehamia Real Madrid asingeweza kushinda mataji mengi aliyo nayo sema aumfatilii Messi mbona ameifanyia makubwa sana timu yake ya Argentina
Acha mapenz mkuu,kweli Messi ni mchezaji mzur Sana lkn ukisema kaifanyia makubwa Argentina unatoka nje mstari...yeye na maradona Nani kaifanyia makubwa Argentina!?kiufupi Messi na ubora wote alionao nje ya Barcelona Hana mafanikio yyt huo ndio ukweli mchungu..
 
MESSI NI MCHEZAJI MZURI SANA ILA NJE YA BARCELONA HANA CHOCHOTE CHA KUJIVUNIA AN HUO NDIO UKWELI MCHUNGU AMBAO HATA YEYE MWENYEWE ANAJUA NDIO MAANA ANASTAAFU LKN ANARUD JAPO KUJARIBU KUSTAAFU KWA HESHIMA NATIONAL TEAM...WATU WA ARGENTINA WASHAVUNJA HADI SANAMU LAKE MAANA WANAONA ANAWAZINGUA YEYE NA GENGE LAKE.
 
Yani huo ndio ukweli Mkuu..! ronaldo mpaka kabeba EURO cup yani alitoka nje ya uwanja lakini still alizid kuwapa mzuka wenzake na wakabeba baada ya yeye kuumia[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
MESSI NI MCHEZAJI MZURI SANA ILA NJE YA BARCELONA HANA CHOCHOTE CHA KUJIVUNIA AN HUO NDIO UKWELI MCHUNGU AMBAO HATA YEYE MWENYEWE ANAJUA NDIO MAANA ANASTAAFU LKN ANARUD JAPO KUJARIBU KUSTAAFU KWA HESHIMA NATIONAL TEAM...WATU WA ARGENTINA WASHAVUNJA HADI SANAMU LAKE MAANA WANAONA ANAWAZINGUA YEYE NA GENGE LAKE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na juzi alivyokosa UEFA hata ballon doR anaona kama hastahili kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na juzi alivyokosa UEFA hata ballon doR anaona kama hastahili kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi Liverpool tulimpiga na akachakaa,mwenzie Cr7 juz tu katoka kuchukua uefa nation league...na hapo ndipo anapozidiwa na cr7.plus mwenzie kaishaionesha dunia kila anapoenda mchango wake unaonekana sio kila siku kuvunja rekod ukiwa timu hiyo hiyo nje ya hapo ni majanga matupu...haya wamekula 2-0 na Colombia juz
 
Back
Top Bottom