Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Kwahiyo Barcelona ndio sehemu pekee ya messi kuonyesha ufalme wake?
kwanini ashindwe kucheza kucheza kwenye club nyingine? kumbuka national team ni tofauti na club!
unawezaje kumhukumu wakati bado hajaondoka?
ngoja kama akienda team nyingine akifeli ndo ntakuamini kinyume na hapo no no no
 
Yani hata akipelekwa madrid leo atapwayaa..!! ndo anachosema jamaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ronaldo kacheza Man u kaenda madrid ambapo amekutana na wachezaji tofauti na wenye majina lakin still alishine kuliko yeyote leo hii huko Juve yeye ndo mfalme..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Ebu tuache masiharaa Cr7 ni mbaya aisee... anafit kila mahali!
national team na club ni tofauti
mlisemaga eti ooh pep hawezi kuja epl! ligi ngumu sijui nini!
sasa anajipigia mbuzi zake hapo england mpaka kachoka!
sasa onyesha niliposema kwamba messi akienda madrid atapwaya!
pia subiri aondoke halafu afeli ndo uanze kuongea. na ikiwa kinyume chake sijui utajifichia wapi? haha
kuhusu huyo ronaldo kwanza ni mzee kuliko messi kaanza snka muda.
kama yeye ronaldo ana uwezo mkubwa si angeenda hata chievo akawape kombe tuone uwezo wake? badala yake anaenda juve team imechukua kombe msimu wa nane huu? haha hata kagere pale juve anacheza.
 
Acha mapenz mkuu,kweli Messi ni mchezaji mzur Sana lkn ukisema kaifanyia makubwa Argentina unatoka nje mstari...yeye na maradona Nani kaifanyia makubwa Argentina!?kiufupi Messi na ubora wote alionao nje ya Barcelona Hana mafanikio yyt huo ndio ukweli mchungu..
.......Amefanikiwa kucheza mechi ya fainali 1 ya kombe la dunia, 2 za Copa America bila kutwaa kombe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na juzi alivyokosa UEFA hata ballon doR anaona kama hastahili kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
haha eti euro!
kile kikombe ambacho ghafla nimeshtuka naskia ni final? haha
je baba wa uefa kama mlivyokuwa mnamuita. huko juve kawapa uefa kama alivyosema?
mtu siku hizi anacheza 9 anavizia kwenye boksi ndo maana kale ka de light kamemficha kuanzia uefa mpaka kule euro! haha
binafsi naamini ureno imebebwa na wale viungo wawili benardo silva, bruno fenarndez basi.

chuki kwa messi sio nzuri bro
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waulize ureno watakwambia...!! cr7 ndo engine yao..Huko argentina yule pimbi anatoa macho tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waulize ureno watakwambia...!! cr7 ndo engine yao..Huko argentina yule pimbi anatoa macho tu
duh ulienda mpaka ureno kuwauliza?
hahaha
kumbe siku hizi argentina wana mchezaji anaitwa pimpi?
au ni yule wa gazeti la sani? hahaha

umepanic bro argentina hamna mchezaji anayeitwa pimbi. hahahaha
 
Kifupi wale south America wanajuana wenyewe weye na umaarufu wako uwache ulaya ukifika huko wanakuchukulia poa tu na wa kawaida sana na ukitaka ushindi upambane sio kubebwa na jina. Pana kisa kilitokea miaka ya nyuma sikumbuki ni mchezaji gani wa brazil aliulizwa mbona nyie safari yenu ya kufuzu inakuwa ngumu kuliko world cup? Akajibu kuwa waqt wa kufuzu hukutana siku mbili au tatu lakini maandalizi ya world cup hukaa kambini muda na kuelewana.
 
national team na club ni tofauti
mlisemaga eti ooh pep hawezi kuja epl! ligi ngumu sijui nini!
sasa anajipigia mbuzi zake hapo england mpaka kachoka!
sasa onyesha niliposema kwamba messi akienda madrid atapwaya!
pia subiri aondoke halafu afeli ndo uanze kuongea. na ikiwa kinyume chake sijui utajifichia wapi? haha
kuhusu huyo ronaldo kwanza ni mzee kuliko messi kaanza snka muda.
kama yeye ronaldo ana uwezo mkubwa si angeenda hata chievo akawape kombe tuone uwezo wake? badala yake anaenda juve team imechukua kombe msimu wa nane huu? haha hata kagere pale juve anacheza.
Sasa kwani huyo jamaa atathubutu kuhama hapo? ukiona kaondoka hapo anatoka nje ya ulaya kula hela maana hana kwengne kwa kumpa mafanikio zaidi ya hapo
 
"wenzake wanamtegemea"

yeye akiwa argentina anachezaga mara nyingi kiungo wa kati anaingia kulia.
so atoe assist yeye, afunge yeye, akabe yeye! duh bado kudaka na tena team ina mastaa wengi vile.

anafanya vizuri barca kwa sababu moves zinaanzia kwake ndo ziendelee kwa team nzima!
argentina kila mtu anataka acheze anavyojua yeye! mbona basi hujauliza mbona apuero hafungi kama anavyofanyu kule man city?
wenyewe wanajua lawama zitaenda kwa messi kama nyie mnavyolaumu hapa

Mkuu hawa pro Messi watakuumiza kichwa wengi wao ni mamluki kwenye soka
 
Mkuu hawa pro Messi watakuumiza kichwa wengi wao ni mamluki kwenye soka
Haa ha ha...
GBWA-20190618202925.jpeg
 
Sasa kwani huyo jamaa atathubutu kuhama hapo? ukiona kaondoka hapo anatoka nje ya ulaya kula hela maana hana kwengne kwa kumpa mafanikio zaidi ya hapo
kwa hiyo wewe upo ndani ya akili yake messi? wewe ndo unampangia cha kufanya? wewe ni wakala wake ama?
wewe si gwele! haha
 
mkuu ni bora nikaushe maana mtu analeta hoja namjibu kirefu.
anauliza anarudia tena hilo hilo

Unapoteza muda tu Mkuu, JF ndiyo ilivyo baada hata aje na hoja za ushawishi anauliza maswali mepesi ambayo unamjibu lakini kuelewa ni changamoto
 
kwa hiyo wewe upo ndani ya akili yake messi? wewe ndo unampangia cha kufanya? wewe ni wakala wake ama?
wewe si gwele! haha

Na hii hoja Yao ya yeye kucheza timu moja haina mashiko ukiwauliza akacheze wapi hawawezi kukupa jibu, Mimi sijawai kuona huyo Ronaldo akisema anataka akacheze Sunderland
 
Messi kamuacha mbali Pele... We mchezaji alikua hayuko standard mipira ya enzi hizo hata sheria ya offside kulikua bado! Bora linganisha akina maradona na gaucho nao kawaacha chalinze
Maoni binafsi..!
Hatufanani mitazamo..!
 
Na hii hoja Yao ya yeye kucheza timu moja haina mashiko ukiwauliza akacheze wapi hawawezi kukupa jibu, Mimi sijawai kuona huyo Ronaldo akisema anataka akacheze Sunderland
nimemwambia hapo rikiboy kachomekea ooh pimbi sijui!
angekuwa ana uwezo angeenda hata genoa.sasa juve wenyewe msimu wa nane sijui wanachukua kombe wenyewe tu. eti ndo ameenda huko haha
thats why juve siku hizi wanapigwa hovyo uefa kwa sababu wanakosa challenge huko seria A!
halafu alisema kaja juve kuwapa uefa! haha
wao hoja yao ni hii tu wanaposhindwa
 
Na hii hoja Yao ya yeye kucheza timu moja haina mashiko ukiwauliza akacheze wapi hawawezi kukupa jibu, Mimi sijawai kuona huyo Ronaldo akisema anataka akacheze Sunderland
Nakujibu akacheze Bayern,Liverpool,Man City,Chelsea au hata PSG au hizo sio timu?
 
nimemwambia hapo rikiboy kachomekea ooh pimbi sijui!
angekuwa ana uwezo angeenda hata genoa.sasa juve wenyewe msimu wa nane sijui wanachukua kombe wenyewe tu. eti ndo ameenda huko haha
thats why juve siku hizi wanapigwa hovyo uefa kwa sababu wanakosa challenge huko seria A!
halafu alisema kaja juve kuwapa uefa! haha
wao hoja yao ni hii tu wanaposhindwa
Ajitahidi basi ahame tukose hoja au abebe tu taji lolote akiwa na timu yake ya taifa
 
Ajitahidi basi ahame tukose hoja au abebe tu taji lolote akiwa na timu yake ya taifa
kubeba taji sio shida.
tunaangalia nini mchango uwanjani mpaka team imechukua taji kwenye hiyo tournament!
kama hoja yako ni kubeba kombe national team. basi olivier giroud kawazidi wote wawili messi na huyo cr7!
maana yeye ana world cup moja.
si ndo unataka iwe hivyo haha
 
Back
Top Bottom