Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
kwanini ashindwe kucheza kucheza kwenye club nyingine? kumbuka national team ni tofauti na club!Kwahiyo Barcelona ndio sehemu pekee ya messi kuonyesha ufalme wake?
national team na club ni tofautiYani hata akipelekwa madrid leo atapwayaa..!! ndo anachosema jamaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ronaldo kacheza Man u kaenda madrid ambapo amekutana na wachezaji tofauti na wenye majina lakin still alishine kuliko yeyote leo hii huko Juve yeye ndo mfalme..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Ebu tuache masiharaa Cr7 ni mbaya aisee... anafit kila mahali!
.......Amefanikiwa kucheza mechi ya fainali 1 ya kombe la dunia, 2 za Copa America bila kutwaa kombe.Acha mapenz mkuu,kweli Messi ni mchezaji mzur Sana lkn ukisema kaifanyia makubwa Argentina unatoka nje mstari...yeye na maradona Nani kaifanyia makubwa Argentina!?kiufupi Messi na ubora wote alionao nje ya Barcelona Hana mafanikio yyt huo ndio ukweli mchungu..
haha eti euro![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na juzi alivyokosa UEFA hata ballon doR anaona kama hastahili kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
BlackPanther uko wapi Kaka! Au ndio umepatapo na homa baada ya matokeo na Colombia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waulize ureno watakwambia...!! cr7 ndo engine yao..Huko argentina yule pimbi anatoa macho tuhaha eti euro!
kile kikombe ambacho ghafla nimeshtuka naskia ni final? haha
je baba wa uefa kama mlivyokuwa mnamuita. huko juve kawapa uefa kama alivyosema?
mtu siku hizi anacheza 9 anavizia kwenye boksi ndo maana kale ka de light kamemficha kuanzia uefa mpaka kule euro! haha
binafsi naamini ureno imebebwa na wale viungo wawili benardo silva, bruno fenarndez basi.
chuki kwa messi sio nzuri bro
duh ulienda mpaka ureno kuwauliza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waulize ureno watakwambia...!! cr7 ndo engine yao..Huko argentina yule pimbi anatoa macho tu
Sasa kwani huyo jamaa atathubutu kuhama hapo? ukiona kaondoka hapo anatoka nje ya ulaya kula hela maana hana kwengne kwa kumpa mafanikio zaidi ya haponational team na club ni tofauti
mlisemaga eti ooh pep hawezi kuja epl! ligi ngumu sijui nini!
sasa anajipigia mbuzi zake hapo england mpaka kachoka!
sasa onyesha niliposema kwamba messi akienda madrid atapwaya!
pia subiri aondoke halafu afeli ndo uanze kuongea. na ikiwa kinyume chake sijui utajifichia wapi? haha
kuhusu huyo ronaldo kwanza ni mzee kuliko messi kaanza snka muda.
kama yeye ronaldo ana uwezo mkubwa si angeenda hata chievo akawape kombe tuone uwezo wake? badala yake anaenda juve team imechukua kombe msimu wa nane huu? haha hata kagere pale juve anacheza.
"wenzake wanamtegemea"
yeye akiwa argentina anachezaga mara nyingi kiungo wa kati anaingia kulia.
so atoe assist yeye, afunge yeye, akabe yeye! duh bado kudaka na tena team ina mastaa wengi vile.
anafanya vizuri barca kwa sababu moves zinaanzia kwake ndo ziendelee kwa team nzima!
argentina kila mtu anataka acheze anavyojua yeye! mbona basi hujauliza mbona apuero hafungi kama anavyofanyu kule man city?
wenyewe wanajua lawama zitaenda kwa messi kama nyie mnavyolaumu hapa
mkuu ni bora nikaushe maana mtu analeta hoja namjibu kirefu.Mkuu hawa pro Messi watakuumiza kichwa wengi wao ni mamluki kwenye soka
kwa hiyo wewe upo ndani ya akili yake messi? wewe ndo unampangia cha kufanya? wewe ni wakala wake ama?Sasa kwani huyo jamaa atathubutu kuhama hapo? ukiona kaondoka hapo anatoka nje ya ulaya kula hela maana hana kwengne kwa kumpa mafanikio zaidi ya hapo
mkuu ni bora nikaushe maana mtu analeta hoja namjibu kirefu.
anauliza anarudia tena hilo hilo
kwa hiyo wewe upo ndani ya akili yake messi? wewe ndo unampangia cha kufanya? wewe ni wakala wake ama?
wewe si gwele! haha
Maoni binafsi..!Messi kamuacha mbali Pele... We mchezaji alikua hayuko standard mipira ya enzi hizo hata sheria ya offside kulikua bado! Bora linganisha akina maradona na gaucho nao kawaacha chalinze
nimemwambia hapo rikiboy kachomekea ooh pimbi sijui!Na hii hoja Yao ya yeye kucheza timu moja haina mashiko ukiwauliza akacheze wapi hawawezi kukupa jibu, Mimi sijawai kuona huyo Ronaldo akisema anataka akacheze Sunderland
Nakujibu akacheze Bayern,Liverpool,Man City,Chelsea au hata PSG au hizo sio timu?Na hii hoja Yao ya yeye kucheza timu moja haina mashiko ukiwauliza akacheze wapi hawawezi kukupa jibu, Mimi sijawai kuona huyo Ronaldo akisema anataka akacheze Sunderland
Ajitahidi basi ahame tukose hoja au abebe tu taji lolote akiwa na timu yake ya taifanimemwambia hapo rikiboy kachomekea ooh pimbi sijui!
angekuwa ana uwezo angeenda hata genoa.sasa juve wenyewe msimu wa nane sijui wanachukua kombe wenyewe tu. eti ndo ameenda huko haha
thats why juve siku hizi wanapigwa hovyo uefa kwa sababu wanakosa challenge huko seria A!
halafu alisema kaja juve kuwapa uefa! haha
wao hoja yao ni hii tu wanaposhindwa
kubeba taji sio shida.Ajitahidi basi ahame tukose hoja au abebe tu taji lolote akiwa na timu yake ya taifa