Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Mbongo na mpira wapi na wapi [emoji16][emoji16]

Hata acpobeba kopa amerika au world cup ataendelea kuwa bora kuwai kutokea. Waliopita na wasasa hawajamfikia hata nusu yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kujipa moyoo...!! Mwenzio huo ubora mnousema hautakii anataka mafanikioo hivi kesho unamwambia mwanao messi alikuwa bora alafu yeye messi anajiona falaaa tu
 
Umeanza kuangalia mpira. Lini
acha kuniambia habari za UEFA za miaka ya 90 hukoo enzi hizo Barca timu sasa siku hizi wanamtegemea Pimbi yule oohoo kalalee mbelee huko...!! Miaka kumi sasa UEFA anaruka ruka tu..timu ya taifa mpaka akajiuzuru kuichezea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Messi alikuwa Barca...ronaldo akawa madrid ebu tuambie UEFA ilikuwaje??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mzeebaba rikiboy hebu usinichekeshe!
unataka kusema messi hajawahi kubeba uefa hapo barca wakati huyo ronaldo yupo hapo madrid?
hahaha
kumbuka barca mara ya mwisho hapo 2016 chini ya luis enrique tulibeba triple yaan makombe matatu dabo!
so 2016 messi hakuwepo? na je huyo ronaldo huo mwaka hakuchezaga au?
kama hujui kausha mzekaka hahaha
 
acha kuniambia habari za UEFA za miaka ya 90 hukoo enzi hizo Barca timu sasa siku hizi wanamtegemea Pimbi yule oohoo kalalee mbelee huko...!! Miaka kumi sasa UEFA anaruka ruka tu..timu ya taifa mpaka akajiuzuru kuichezea[emoji23][emoji23][emoji23]
duh kachukua uefa mara ya mwisho 2016.
kutoka 2016 mpaka sasa ni miaka kumi???
hahaha unachekesha sana kaka
 
duh kachukua uefa mara ya mwisho 2016.
kutoka 2016 mpaka sasa ni miaka kumi???
hahaha unachekesha sana kaka
Barcelona Mara ya mwisho NI msimu wa 2014-2015...hiyo ya 2016 labda kama kombe uliliandaa ewew mkuu...
 
Barcelona Mara ya mwisho NI msimu wa 2014-2015...hiyo ya 2016 labda kama kombe uliliandaa ewew mkuu...
naweza kuwa nimekosea mwaka .
lakini matukio nayakumbuka vizuri mno!
na hata kama 2015 mpaka 2019 ni miaka kumi?? haha nawe pia unasapoti! team ronaldo mna shida sana
 
naweza kuwa nimekosea mwaka .
lakini matukio nayakumbuka vizuri mno!
na hata kama 2015 mpaka 2019 ni miaka kumi?? haha nawe pia unasapoti! team ronaldo mna shida sana
Mm sio shabiki wa yyt mkuu,ila yyt anayefanya vizur huwa nampongeza..ndio maana nikasema huko nyuma...Messi ni mchezaji mzuri Sana naamin hakuna mwenye akili timamu anawexa kataaa ila nje ya Barcelona Hana Cha KUJIVUNIA...na huo ndio ukweli mchungu...mm ni shabiki wa Liverpool na mane ndio mchezaji naemkubalia Sana.
 
nakuelewa mkuu.
lakini huwezi kumhukumu mtu bado yupo hai. lolote laweza kutokea!
anaweza akahama na kwenda kupata mafanikio kwingine!
mwisho ni mawazao yako na lazima niyaheshimu

tchao
 
Mkuu messi akiwa Argentina anazungukwa na watu wasiojituma ndio maana haja nyakua makombe akiwa na Argentina wakati Cr7 kazungukwa navijana wanaojitum sana mfano mzuri ni kwa B.sliva kafanya kazikubwa sana kufanikisha kikombe cha 2 kwa Cr7
 
Mm sio shabiki wa yyt mkuu,ila yyt anayefanya vizur huwa nampongeza..ndio maana nikasema huko nyuma...Messi ni mchezaji mzuri Sana naamin hakuna mwenye akili timamu anawexa kataaa ila nje ya Barcelona Hana Cha KUJIVUNIA...na huo ndio ukweli mchungu...mm ni shabiki wa Liverpool na mane ndio mchezaji naemkubalia Sana.

1 Messi
2 Maradona
3 endelea
 
So huo ukubwa wake na manjonjo akiwa tu Barcelona huwaga hatuuelewi yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kipaji kinakuwepo akivaa uzi wa Barca tu???
Unamfahamu mchezaji anayeongoza kufunga magoli timu ya taifa ya Argentina ?
 
Unamfahamu mchezaji anayeongoza kufunga magoli timu ya taifa ya Argentina ?
[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20190619-WA0000.jpeg
 
Tatizo mnachanganyaga vitu vinne kwa wakati mmoja
(1)Messi
(2)Cr 7
(3)Fc Barcelona
(4)Argentina National Team
Ukweli hauwezi kupata chochote unacholazimisha kutuaminisha....utasema mengi lakini bado mchezaji bora na Extra ordinary atabaki kua mmoja tu duniani... Wengi wamejaribu kumlinganisha na magwiji wengine waliotangulia lkn inafikia Mahala wanakwambia huyo kiumbe ni hatari!... A creature from another planet!...
Makocha wote wakubwa wa dunia wameshamjadili na kutoa takwimu zao, wengine wakimfananisha na mchezaji wa PlayStation!....

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
kubeba taji sio shida.
tunaangalia nini mchango uwanjani mpaka team imechukua taji kwenye hiyo tournament!
kama hoja yako ni kubeba kombe national team. basi olivier giroud kawazidi wote wawili messi na huyo cr7!
maana yeye ana world cup moja.
si ndo unataka iwe hivyo haha
Umemjibu sawasawa na atakuwa ameelewa
 
Back
Top Bottom