Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Wakuu hii sasa imekuwa historia rasmi
Lionel Messi amefikisha mabao 16 kwenye FIFA World Cup na kumfikia Miroslav Klose kama mfungaji bora wa muda wote wa World Cup.
Messi kafanya hivyo baada ya kupiga hat-trick dhidi ya Algeria kwenye World Cup 2026. 🔥
Cha ajabu zaidi ni kwamba:
-Ana miaka 38
-Sio striker wa asili
Lakini bado amefika juu kabisa ya list ya wafungaji wa World Cup. Kwa sasa wamekaa wote kileleni na mabao 16, ila Messi bado ana mechi nyingine mbele yake… maana yake ana nafasi kubwa ya kubaki peke yake juu kabisa mwenyewe bila usumbufu.
Kwa kweli tumeshuhudia zama za mchezaji wa tofauti sana. Messi anazidi kuweka legacy ambayo inaweza kuchukua miaka mingi kuvunjwa.